Wapendwa hope mko njema.
Nahitaji ultra sound machine kwa matumizi ya zahanati yangu.
Iwe used ama mpya ila iwe ya bei nafuu,Offer yangu ni 4M.
Asanteni in advance.
Habari,
I'm selling 6 units at very good prices, inbox to get full details and negotiate prices further..
All units have no registration numbers yet, prices include registration and plate number...
Wadau gari zinauzwa na ukiniunganisha na mteja akanunua natoa 150k kwa gari au kama tutauza bei juu ya nlipanga mie tofauti ni ya kwako.
Nitumie PM kupata full details za magari.
2004 Toyota...
simu kali aina ya lenovo vibex inauzwa kwa bei nzuri ya 450,000 na unapata na kava la simu
Kwa mawasiliano: 0715223767
specifications za simu hii ni kama ifuatavyo:
1. Operating system yake ni...
Dream Car, Dream House in 3 years
Watu wengi wanapokuwa shule au vyou na mara waanzapo ajira au biashara uwa wanakuwa na ndoto kubwa, zaweza kuwa kubwa za hata kumiliki ndege yake binafsi ama...
A newly constructed godown of sqm 3240 is availale to let in Vingunguti dar es Salaam near the port. the rent is USD 5.50 per sqm.
For more information on the godown and to view other property...
Samsung galaxy s3 Simu ipo ktk hali nzuri model ni GT-19300 bei ni 270,000/= haipungui hata mia aliyekuwa na uhitaji ani pm ahsanteni nipo Dar es salaam
Habari zenu wana jamvi.
Nahitaji nyumba ya kupanga, yenye vyumba viwili na sebule (sebule ikiwa kubwa kiasi itapendeza zaidi) na jiko kama litakuwepo itafaa sana.
Maeneo ya Kijichi na iwe ktk...
S3 350000
S2 250000
Htc one x 330000
Htc one m7 480000
Htc one sv 280000
MZIGO UMEINGIA ASAHIVI MPYA NDANI YA BOX
2yrs warranty + free deriverance
If interested njoo PM
A newly constructed godown at Vingunguti near the Port of sqm 3240 is available to let. The rent is USD 5.50 per sqm.
For more information on the godown and to view other properties in Tanzania...
Kwa wote wanaopenda wawasiliane nami kupitia 0714 592621 hakuna dalali katikati.
angalia picha zake za hivi karibuni. first come first saved.
Inafanya kazi Dar es salaam maeneo ya pugu...
Habari wakuu,
nauza nokia Lumia 800 mpya kutoka U.K,Kwa Tshs 380,000/=
INA SIFA ZIFUATAZO:
Internal Memory: 16GB
Processor: 1.4GHz
Camera: 8MP(Back),
RAM: 512MB
Colour: Black
Karibuni...
Ndugu wana Jf kuna viwanja vitatu vipo kibaha madafu karibu na kiwanda cha wachina vinauzwa ni mita 20 kwa 20 bei ni tsh 1,500,000/= kwa maelezo zaid tafadhali nipigie kwa hii number please 0717698975
Viwanja vipo Buyuni kata ya Majohe sehemu inaitwa Nyebulu. vinaukubwa wa mita 15-15 unaweza kuviunganisha ukapita ukubwa mzuri na umbali toka barabara kubwa ni kilomita 1 na nusu. Vimepangwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.