Au unataka mtu aonekane mbaya tu kwa kulazimisha we nimekwambia piga namba hizo na ukitaka utaletewa sasa kama ni mnunuzi utapiga na kama si mnunuzi utaishia kubwabwaja mi sipend kubishana ndo maana nikatoa namba
But nahc imechoka sana hio,indictor tu za mbele zina rangi tofauti,taa umeziinimisha kuna kitu umezuia hapo tyles zimechoka sana,sight mirrors zote umepasua hio ni kwenye picha nikija live ntagundua mengi sana!!!!anyways endelea kuuza ninavyojua saiv pikpik za kiivo skuhz ukiuza kwa hio hela bas ww jembe,hio anzia Lk5
Kweli kabisa, huyo ni kanjanja, coz hatujui ni aina gani ya pikpik, imetumika muda gani, ni no gani, au ndo kesha ipiga sehem, ndo maana anaogopa kusema jukwaani ili mwenyewe asijue
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.