Kama kichawa kinavyojieleza mwenye nayo aweke picha na detail zake zote hapa na contact zake.Gari Iiwe Dar es salaam ili nije kuiona na kuikagua.
Karibuni.
nyumba mbili zilizo kwenye kiwanja kimoja zinauzwa, nyumba moja ina vyumba sita na nyingne ina vyumba saba pia kuna kuna banda moja la uani pamoja na frem 4 mbele
nyumba iko eneo la mbagala kuu...
Tunauza hereni za rangi ya waridi pamoja na nyingine kwa sh.2000 na znapatkana kwa jumla pia hereni nzuri kwa waciotoboa masikio znapatikana
Ni pm kwa biashara
Habari wadau wa Bizness,
Nina shamba ekari 70 lipo Zinga(limepimwa na lina hati),Bagamoyo,1km kutoka barabara ya lami.Shamba lina Mashine za kunyonyoa,kukata kuku na mabanda ya kufugia,Ma freezer...
Habari nzuri wakuu,
Tunatoa mikopo ya 250,000 kushuka chini, malipo ni baada ya mwezi, unatuachia kitu cha thamani kama dhamana, mfano (simu, laptop, tab, n.k)
Tupo Mbezi..
Natanguliza salamu kwa wana jami,kwa makampuni ya ulinzi na mtu mmoja mmoja napenda kuwatangazia kuuza riot proof devices za aina tofauti tofauti na bei zake zinaanzia tsh 60,000 hadi 120,000...
kiwanja kinauzwa, kina Ukubwa wa robo mita 20 kwa 40 kwa sh. milion 25 (maongezi yakubalika) Kipo Bagamoyo mjini Kilipo kiwanja adi stand ya mabasi ni mwendo wa dakika 10 tu.
Kwa mawasiliano...
Nissan Serena toka Japan . Bei sh million 15. Bei inapungua
Pia ninaweza kukuagizia Gari yoyote unayoitaka kwa unafuu. Utanilipa Commission sh laki 5 kama garama ya kukuagizia. Utapata gari zuri...
Natafuta fremu ya duka la mahitaji ya nyumbani mf. Mchele,mafuta,sukar n.k au duka la aina hiyo linalouzwa
N.B; Iwe ipo center kibiashara na iwe ipo Dar.
Ni projekta mbili aina ya sony kama inavyoonekana pichani. Zinauzwa pamoja na vitambaa vyake (vipya tu). Jumla ya zote na vitambaa vyake ni Tsh. 1,600,000/-. Kwa wanaohitaji nitumie ujumbe binafsi...
Sepon Limited supply and installation of solar equipments and backup systems at homes, offices etc
Backup system gives you full electricity when tanesco is off
call us 0716485858/0762246488
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.