He he he! Wewe unatafuta toyota au unatafuta BP? Hiyo M2 yako bola ukalie chipsi mayai!
TEhetehe hela ya mboga hiyoo....nukuu mama tiba
He he he! Wewe unatafuta toyota au unatafuta BP? Hiyo M2 yako bola ukalie chipsi mayai!
Natafuta Toyota ya aina yoyote iwe inatembea budget 2m, malumbano yanaruhusiwa!
He he he! Wewe unatafuta toyota au unatafuta BP? Hiyo M2 yako bola ukalie chipsi mayai!
Hahahaaha JF naipenda sana, mtu ana m2 anataka atembee amekaaa.so funy
Aisee........
Hauna umuuzie?
Nataka niisukume PUMA........atafika bei huyu.......?.....