Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Toyota rush Engne vvti Cc 2400 Kms 30000 Year of manufacture 2010 Price 26m See the pics 0656 43 66 62
0 Reactions
1 Replies
1K Views
iphone 5 nyeupe inauzwa kwa 450k,haina scratches na bado iko kwenye hali nzuri note: inasumbua kusoma ussd code ukitaka picha na maelezo zaid please nitafute kwa 0763969066
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iko katika hali nzuri.haina tatizo lolote. Ina front camera,na back camera 5mp. Internal 4gb,512 RAM. Mawasiliano:0654 757570 Mwanza.
0 Reactions
4 Replies
998 Views
1.Tunafunga madish ya vingamuz vyote Azam,Zuku,Star Times, DsTV nk. 2.Kwa wale wanaohitaj kuona mechi za mataifa ya Africa(AFCON) bila kulipia kwenye kingamuzi cha AZAM 3.Tunafunga channel za...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Imetumika mara mbili tu toka airtel inatumia lain zote,tanga,bei 35000,kwa anayehitaj hiyo modem tuwasiliane 0713315391.
0 Reactions
0 Replies
980 Views
MKUTANO MKUBWA WA KIBIASHARA LAW WANAWAKE TANZANIA. Mahali: Mwl UK Nyerere Posta Muda:9.00 mchana Kiingilio: 10,000/ Cards; sms 0689067575, zimebaki chache.
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Maongezi yapo, cheki picha. KM: 68,000. Namba: 0656 43 66 62 uliza chochote
0 Reactions
20 Replies
4K Views
wakuu naitaji galaxy s4 full box bajet 430. tiwasiliane whatsapp 0767879784
0 Reactions
0 Replies
613 Views
PS3 inauzwa bei ni 450000/ kuna maelewano pia kama unatahitaji ni PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bado ina hali nzuri kabisa. Bei 170k. Contacts: 0659 626 782
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana-Forum salaam! Naomba kuuliza, ni sehemu gani kwa Dar naweza pata VipodozI kwa bei ya jumla?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau nyumba inauzwa haraka, muuzaji ana anadaiwa na bank muda aliopewa umeisha. Nyumba iko ndani ya kiwanja chenye hati ya makazi. Bei ni 131,000,000m meza ya mazungumzo iko wazi, baada ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Htc one max 32gb inauzwa laki 7 with all accessories
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Htc m8 mpya inauzwa laki 8.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nauza air compressor Tsh 1,500,000 mawasiliano 0687137013
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mistubishi pajero io ya 1999 inauzwa iko lwenye hali nzuri sana. bei mil 7na maelewano yapo.kwa mawasiliano piga 0759128222.karibuni sana
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau hii mzigo iko boxed kabisa matatzo tu ya dunia imelazimika kuuzwa. Ni original and not clone bei ni laki 8 maongez yapo. ATTACH]230479[/ATTACH] Karibuni. 0713 80 67 66/ 0764 50 30 76.
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Wakuu mwenye Laptop iliyokuwa ktk hali njema tuwasiliane nina 200,000/= nipo Mwanza
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina Iphone 6 ambayo nimesahau password yake hivyo siwezi kuifungua, ni fundi yupi kwa Dar anayeweza kui flash ?? Nikipata mawasiliano yake ntapenda zaidi...Aksante
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naitaji iyo kitu my offer 80000 call 0756664797
0 Reactions
3 Replies
789 Views
Back
Top Bottom