Sasa udongo wetu unapatikana Zanzibar (Unguja).
Huu udongo ni 100% wa asili, haujaongezwa chochote na moja ya matumizi ni kama liwa lakini una ubora zaidi ya liwa.
Kwa maelezo zaidi usome hapa...
Sasa udongo wetu Aunt Zainab's Natural Super Clay unapatikana Mtwara. Huu udongo ni 100% wa asili, haujaongezwa chochote na moja ya matumizi ni kama liwa lakini una ubora zaidi ya liwa.
Kwa...
Sasa udongo wetu Aunt Zainab's Natural Super Clay unapatikana Morogoro. Huu udongo ni 100% wa asili, haujaongezwa chochote na moja ya matumizi ni kama liwa lakini una ubora zaidi ya liwa.
Kwa...
Wadau naomba mwenye uzoefu na hili anijulishe, Ni kwamba nahitaji kuagiza Toyota Ist ya mwaka 2004 kutoka Japan, Naomba kujua mwenye uelewa, itanighalimu shilingi ngapi mpaka nianze kuiendesha...
Habari zenu Wanajamvi?
Natumai ni wazima wa afya niende moja kwa moja kwenye ujumbe ulionipelekea kufungua thread hii.Kutokana na ongezeko la shughuli za ujasiliamali mfano kilimo na ufugaji ardhi...
Habari, simu tajwa hapo juu inauzwa laki na themanini.
Ina mipasuko kwenye touch ila inafanya kazi vizuri.
Kioo cha 4.7"
Quad core processor with 1GB RAM
32 GB Memory n.k
Habari zenu wana jamvi,
Kwa wale mafundi TV nauza TV (screpa) imeharibika kioo ila vifaa vingine vipo ok.
TV yenyewe ni LG,PLATT ,PLASM.INCHI 42
Kwa mafundi TV anayehitaji ani pm
ASANTENI
Wakuu,
Habari ya muda huu,naitaji kiwanja at least square meter 1000 kati ya haya maeneo mawili Goba au Kigamboni(isizidi 10 km) kutoka ferry.
NB: Naitaji Goba sio Tegeta A
Tunashona suti za kiume na kike kwa kiwango cha juu na kwa haraka. Tunaweza kukushonea na kukutumia popote ulipo. Kwa maelezo zaidi wasiliana na mkurugenzi wa kitengo, Mr.
Elias Zelemani 0784...
Salaam wa ndugu,
Ninauza viwanja goba 30 kwa 30, kwa shilling million 20, vipo vingi karibuni kwa biashara.
Namba yangu ni +255 714 723646.
Karibuni sana
Jamani huku vijijini kuna wadada nakutana nao wanakua hawana shughuli ya kufanya sasa katika kuwauliza wapo wanaosema wapo tayari kufanya kazi za ndani.
Kwa mshahara usiopungua 40000 vipi kuna...
Nyumba inauzwa Chanika Tshs. Mil 70. Ipo ndani ya kiwanja cha Medium size, Ina master bedroom 1, sub master 1, vyumba vya kawaida 2, common toilet, sitting room and dinning, stoo na jiko. Nje ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.