Nyumba inauzwa, iko bambucha barabara ya kitunda kivule, inavyumba 4 vya kulala kimoja master, sitting room, dinning room, study room, jiko na vyoo vya public, inaumeme na imeezekwa kwa vigae...
Nauza kiwanja kipo goba km2 kutoka barabara ya lami kipo kwenye barabara ya mtaa. Mitaa imepangika vizuri na kumejengeka vema kuna umeme na huduma zote za kijamii. Ukubwa 20*20meters bei 9mil...
1.Ukubwa sqm 2000,bei 75mil.
2.Ukubwa sqm 900,bei 45mil
Vyote vipo kwenye barabara za mtaa na ni dakika 5 tu kutoka Bagamoyo Road,umeme na maji vipo jirani.Unsurveyed na nyaraka za umiliki...
Brand New Giorgio Armani Aviator shades for sale:-
Price is 500,000 Tshs
Comes with original box, case, soft pocket and instruction manual.
Call 0714881500.
Location:- Dar es salaam.
Whatsapp...
Hizi ni PowerBank zinazoweza kuchajiwa kwa kutumia umeme au solar, unaiweka kwenye umeme tu kama unavyochaji simu, au pia unaweza kuiweka kwenye jua hata kwa dirishani tu inatosha kujichaji hadi...
Wanajamvi asubuhi hii nilipost advert hapa kwamba nina king'amuzi cha kuuza (azam tv) king'amuzi na dish yake. Wengi mnauliza bei nitakiuza shilling laki moja na elfu kumi tu ila bargaining ipo...
Wadau ninauza line za uwakala wa mitandao ya TIGOPESA,MPESA na AIRTEL MONEY kwa anayehitaji.PIA kama kuna mtu ana interest ya kuendesha biashara hii inayoendelea pia tunaweza kuongea nikamwachia...
Kiwanja kipo 20*19 mbezi mwisho kuelekea njia panda ya makabe na tegeta A,kiwanja kipo maeneo ya tegeta A eneo ni nzur kuna barabara mpaka kwenye kiwanja pia njia ya umeme bei million 6 mazungumzo...
Ni hp elitebook 2540p core i7 ram 4gb hdd 120gb up to 3hrs battery life webcame bluetooth nk ipo in good condition aliye tayari kuexchange na smartphone anicheki 0688206680 iwe in good condition...
Anatafutwa mtu anayeweza kupanga nyumba iliopo mkabala na Idiva bar yenye vyumba vitatu
Choo ndani
Jiko
Sebule kubwa
Maji wakati wote
Na uwanja na usalama mkubwa
Bei 200000 kwa mwezi
HAKUNA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.