Natafuta supplier au kiwanda cha nylon packaging bags kama za DHL za kusafirishia vifurushi. Ziwe na uwzo wa kuwa sealed kwa gundi na sehemu ya kuattach documents kwa juuu. Sample pichani. Kama...
Ni wakati muafaka tukawa na website yetu.
Malipo ni kutokana na bidhaa zote zitakazouzwa kupitia website hiyo kwa hiyo tunataka designer, developer, manager, marketeer na sales solutions amma...
Natafuta fundi bati mzuri anifanyie marekebisho. Nimeezekewa bati jipya hivi karibuni na mtu aliyejifanya ni fundi lakini kaharibu.
Bati jipya kabisa, mbao mpya kabisa lakini linavuja kila sehemu...
Aunt Zainab sasa anawaletea bidhaa mbadala za Eternal na mtiririko huu utakuwa wa bidhaa tofauti kwa ajili ya wale wanaojali afya zao:
Slimming Tea ni majani ya chai ya asili kutokea China, yana...
Natafuta supplier au kiwanda cha nylon packaging bags kama za DHL za kusafirishia vifurushi. Ziwe na uwzo wa kuwa sealed kwa gundi na sehemu ya kuattach documents kwa juuu. Sample pichani. Kama...
Eneo: Kigamboni (kwa Pinda),
Hakijapimwa.
Ukubwa: Miguu 28 kwa 30
Hakina mgogoro (Kina hati ya S/Mtaa)
Umeme umefika
Ni karibu na mradi wa NSSF
Bei: 11m
Contact: 0767515333
Mwenye uhitaji wa hivyo vitu tajwa ( External HD ya Transcend 500GB na Airtel modem ), vinapatina ( naviuza vyote kwa pamoja 80,000 ) nimevitumia kwa mda wa siku tatu, modem ya airtel ina bando...
Nahitaji kwenda huko baada ya sikukuu sijawahi fika na nahitaji kukaa kwa ziku kadhaa la msingi japo nitaomba Abc zingine kutoka kwenu ni hotel gani nzuri ya kufikia ambayo unaweza fanya booking...
Habari zenu wadau?
Naomba msaada.
Natafuta paka (domestic cats) wawili - dume na jike.
Wasio na mabaka kama ya chui.
Wenye mabaka kama ya chui wana asili ya kuwa deviant (paka mwitu)- huwa na...
Habari viongozi.. Naomba kuuliza wapi nitapata machine kama hii hapa Dar es salaam pamoja na bei yake. Ni machine ya kutengeneza pea nut butter na mambo mengine mengine... Natanguliza shukrani.
Tunatoa lock simu kama zifuatazo
samsung
htc
sony
nokia
iphone
blackberry
pantech
siemens
softbank
lg
dell
huawei
zte
na zinginezo nyingi kwa mawasiliano piga 0774439364
Plot inauzwa ya kujenga nyumba, ipo maeneo ya Kongowe Kilungure.
Bei maelewano, na ruksa kwenda kuiona na kujiridhisha kama ipo fresh na salama.
Contact 0753820584.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.