Morogoro: Aunt Zainab's 100% Natural Super Clay

Morogoro: Aunt Zainab's 100% Natural Super Clay

Udongo huu unasaidia sana wenye matatizo ya chunusi, tumepata response nzuri sana kwa wenye matatizo hayo.
 
asante baada ya hapo tengenezea brand nzuri na usambaze hadi nje. Pia ukiwa tayari naweza kuwa nanunua kwa jumla kwako.

Nitafurahi sana kupata vijana watakaoupaisha kisasa kwa faida yetu sote.

Asante sana.
Zainab
 
Kukata harufu kali ya jasho mwilini:

Namna ya kukata harufu kali ya jasho mwilini kwa kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay:

Kijiko kimoja cha chai udongo wa Aunt Zainab's Natural Super Clay, nusu kikombe cha maji safi, changanya pamoja mpaka iwe rojo lisiwe zito wala jepesi sana la mchanganyiko wa maji na udongo (isiwe nzito sana na isiwe nyepesi), paka kwenye kwapa zote, paka kwenye pachu za mapaja, wacha ikaukie mwilini kisha nawa kwa maji safi. Fanya hivyo kila siku kwa wiki moja ikiwezekana kutwa mara mbili. Tuletee majibu kwa pm.

Asante

Zainab
 


    • Na sasa kwa mara ya kwanza Tanzania unaweza ku "afford" luxury ya "mud bath" nyumbani kwako.

      Mud Bath ni njia moja ya kutoa sumu za mwilini na kuufanya mwili uwe morororo na kujisikia mchangamfu sana kila unapoifanya. Tatizo kubwaa lilikwa ni gharama zake. Wenezetu nje hutumia mpaka dollar 200 kwa kufanya mud bath kwenye maspaa.

      Tanzania tumejaaliwa neema ya kuweza ku afford bath kama bure. Jaribu.

      Unachukuwa pakti moja ya udongo wetu, siku moja kwa wiki, ambayo unataka ku relax, unatia kwenye maji bakuli moja (kama nusu kita maji), unauacha kwa muda wa saa moja ujichanganye wenyewe kisha unautazama uzito wake, (uwe kama kwenye picha), unajisiriba mwili mima (kama kwenye picha, usiache sehemu, uso na kila mahala.

      Matokeo yake ni ya ajabu, uchovu wote huondoka mwilini, unajisikia fresh sana na ngozi inakuwa nyororo na vipele vipele vyote vinaondoka.

      Jisomee:

      Introduction of Mud Baths

      Mud bath is a detox therapy, which has become extremely popular around the globe. Until rather recently, many European practitioners promoted mud baths as a treatment for arthritis. This back to the basics, relatively simplest of alternative therapies, tends to help relax muscles, soothe aches, improve blood circulation and smoothen the skin. With today's emerging trends mud baths are often recommended to help reduce stress and leave us feel rejuvenated at the end of the session.

      [TABLE="class: cms_table_cms_table, width: 255"]
      [TR]
      [TD="width: 100%, align: left"]
      bodywrapnew.gif
      [/TD]
      [/TR]
      [/TABLE]




      Skin and Detoxification

      Conscious detoxing is a great way to achieve optimum health. The best ways to detox is through the skin. Detoxification is one of the most effective methods to eliminate toxic substances that build up throughout our system. The toxins present in the environment constantly attack the body. These toxins get accumulated in the body's fat layers. Accumulation of toxins in the body cause harm to the biological processes. Hence, it becomes essential to remove the toxins regularly from the body otherwise; a high toxin load may cause skin problem, frequent or recurring colds, chronic pains, low energy levels, allergies and other illness.

      The skin is the largest breathing human organ. Keeping the skin healthy promotes general health and well being. Taking a hot bath or sauna promotes sweating that flushes the toxins away from the body. Mud baths draw out the toxins and impurities from the body, exfoliating and nourishing the skin.

      Read more: Mud Baths Mud Baths




 
ClayMask.jpg


What is it?
An ancient remedy, used as a detoxifier for centuries for a number of different ailments (More info).
It's a very fine powder, derived from volcanic ash.

A number of high end spa brands actually use this as a base for treatment masks in their facials.

Now in Tanzania at affordable prices.
About the Product


  • World's most powerful facial
  • Deep pore cleaning
  • 100% natural clay
  • Does not contain: Additives, fragrances, animal products

Be proud, its a product of Tanzania 100% Natural.

Hii bidhaa ni kama ndoto na nzuri hata kwa wenye allergy ambao hawawezi kutumia masks na kufanya facials kwa dawa zenye kemikali.

Pitia hapa kwa maelezo zaidi:
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/793264-kwa-wanaume-na-wanawake-udongo-natural-unaolainisha-ngozi-sasa-unapatikana.html
 
Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.

Pitia hii link kujionea mwenyewe: Tiba: Unatokwa na Nywele? Una Kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zainab's Natural Super Clay
 
Back
Top Bottom