Wakuuu habari ya muda huu,naitaji kiwanja at least square meter 1000 kati ya haya maeneo mawili Goba au Kigamboni(isizidi 10 km) kutoka ferry.
NB: Naitaji Goba sio TEGETA A
Ninacho goba square meter 2300 kina hati
Ninacho goba square meter 2300 kina hati
Vipo viwanja kadhaa sehemu moja vimepimwa na vina offer tayari. Size tofauti kuanzia sqm 800,900, 1000 na kuendelea. bei ni tsh 15000 kwa sqm 1. hakuna udalali
Viwanja vipo goba sio mbali kutoka kwenye junction ya barabara ya goba (inayowekwa lami) na barabara inayokwenda kiwanda cha cement wazo
mwenye uhitiji ani PM