Nauza sofa mpya

Nauza sofa mpya

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,368
Reaction score
8,738
Wakuu habari za kazi,

Nauza sofa mpya ambazo hazijakaliwa kabisa kwa shilingi laki mbili na elf themanini tu.

Kwa mawasiliano unaweza kunicheck kwa
 
Mawasiliano mbna ujaweka Unauza set au moja moja Mkuu taarifa yako mbn Kama haijakamilika
 
Niko dar es salaam sinza......najaribu kuupdate picha Ila zinakataa 0686 274501nitxt then nitakutumia watsap
 
wakuu habari za kazi.... Nauza sofa mpya ambazo hazijakaliwa kabisa kwa shilingi laki mbili na elf dhemanini tu kwa mawasiliano unaweza kunicheck kwa

mwambie jirani akufundishe jinsi ya kuweka picha upate hela leo leo ukazipige kiberiti kesho
 
Mm mwenyewe Microsoft Certified Ila sijui ni kwann picha hazipandi nimetumia app Ya Jamiiforums na operamin zote zinakataa
 
Sofa pucture
 

Attachments

  • 1437130000094.jpg
    1437130000094.jpg
    19.2 KB · Views: 274
  • 1437130046691.jpg
    1437130046691.jpg
    28.9 KB · Views: 266
  • 1437130075257.jpg
    1437130075257.jpg
    26 KB · Views: 231

Similar Discussions

Back
Top Bottom