Gari linauzwa, lipo Dar es salaam na katika hali nzuri, ni TOYOTA SPACIO, Mwaka 1997, CC 1600, na Bei 5.5M,
Kwa anaye hitaji maelezo zaidi tafadhali piga 0754 711 137.
Kiwanja kinauzwa ivumwe mbeya karibu na tazama pipeline kina urefu 33m na upana 17m. Kimepemwa na kipo katika mpango mji. Barabara ipo mbele ya kiwanja, umeme na maji vipo. Bei mil 12 ukihitaji ni...
Habari wana jf maeneo ya kigamboni gezaulole tunauza viwanja vya kupima viwanja hivyo vipo vingi na vinamilikiwa na mmiliki wa kwanza na bei kwa kila square meter ni tshs 12,000/= kwa anaehitaji...
Nyumba ipo bonyokwa ina master moja jiko sebule na rum moja ya single square mita 20 kwa 18,
Bei ni Mil 35.
Kwa mawasiliano wasiliana nami kwa +255764361843
Maeneo ninayo pendelea zaidi!
@@upande wa Morogoro road kuanzia
miembe saba hadi Mlandizi
iwe km1 kutoka barabarani!
@@upande wa Bagamoyo road kuanzia
Kizuiani hadi Mapinga shule.
Ipo Tabata Kimanga, ina chumba na sebule choo jiko na bafu, umeme maji vipo, inajitegemea gari mpaka nyumbani
chini ina tires juu sing bord ya kawaida , bei 150,000 miezi 6.
Tuwasiliane...
Ina vyumba vinne vya kulala, jiko, sebure, ipo ndani ya uzio na nafasi ya kuhifadhi magari mawili. Kodi kwa mwezi 1.5mil
Kwa maelezo zaidi piga simu 0755312233.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.