Mashine ya kupigia tofali na vibao vyake viko 500 inauzwa, inatoa tofali moja la 5.5", ina mwezi mmoja tangu inunuliwe na imefanya kazi mara mbili tu.
Bei 885,000 Neg.
niPM tufanye biashara
Ni nyumba kubwa ya vyumba 3, dinning, sitting kubwa,uwa mpana,fence na geti,eneo limepimwa iko jiran na Nganza secondary hapa nyegezi Mwanza anaehitaji bei ni milion 45 tuwasiliane kwa 0788752672
Lipo kisemvule ni ekari 36 karibu na kiwanda cha cement cha rhino lipo mita chache from main road inayokwenda mkuranga interested buyer unakatibishwa just PM
Habari ya leo waungwana. Natumaini wote mu wazima wa afya na mko poa katika kusukuma maendeleo ya Taifa letu pendwa Tanzania.
Bila kuchoshana.
Kama tunavofahamu kumekuwa na ongezeko kubwa sana...
Kampuni ya Edmark kutoka Malaysia inamakao makuu Masaki Dar es salaam Tanzania.Inajihusisha na uuzaji wa bidhaa za afya (food supplement) ambazo ni asili na zimethibitisha na TFDA.
Kampuni inatoa...
Habari,
Nauza kiwanja kipo Korogwe mjini maeneo ya kwam'mbo karibu kabisa na magunga hospitali, kiwanja kina msingi wa mawe vyumba vinne na michungwa kadhaa, kina ukubwa wa robo heka bei tsh 2.7...
Wakuu natumaini mu-wazima,
Nahitaji kununua used mables kwa ajili ya "viji-ujenzi" vyangu hapa mjini Arusha. Kama unazo au unafahamu wapi naweza kupata, tafadhali nijuze.
Plot at Kitunda Magore kwa Mpemba. Sehemu imetulia. Viwanja vimepimwa kienyeji kwa kuzingatia miundo mbinu yote especially barabara zenye upana wa 5Meters.
Vyote kwa pamoja vina ujazo wa 30 X...
Specs; iSO 7.1, 16 Gigs, Black color, clean unlocked IMIE and open iCloud.
A few scuffs on the front screen, like new on the back.
Offer: Tsh 250,000/-
PM for contact!
Habari wakuu,
Natafuta Chumba chenye umeme na dari maeneo ya mbagala Kuu, butcher, mgeni nani na neluka na maeneo ya karib yenye utulivu. Budget range ni 25k to 35k per month.thanks!
Nyumba inapangishwa Tabata Bima... ni kubwa ya familia...
1: Room 4, moja master
2: Ina fence, umeme na maji, geti linahitaji marekebisho madogo ..pia rangi ya ndani itarudiwa...
3: Usalama wa...
Habari zenu wote.
Mganga wa mapenzi anahitajika haraka kutoa msaada kwa jahazi linalozama katika mahusiano yangu na mchumba wangu. Mchumba wangu kabadilika ghafla kiasi kwamba hataki hata kuniona...