Ni nyumba kubwa ya vyumba 3, dinning, sitting kubwa,uwa mpana,fence na geti,eneo limepimwa iko jiran na Nganza secondary hapa nyegezi Mwanza anaehitaji bei ni milion 45 tuwasiliane kwa 0788752672
Uwanja wake una ukubwa gani? Kama pamepimwa twambie ni plot namba ngapi? Block namba ngapi? Na jina la mmiliki wa hiyo plot, ili tufanye data seach kabla ya kufanya uamuzi wa kununua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.