Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,007
- 19,709
Nyumba inapangishwa Tabata Bima... ni kubwa ya familia...
1: Room 4, moja master
2: Ina fence, umeme na maji, geti linahitaji marekebisho madogo ..pia rangi ya ndani itarudiwa...
3: Usalama wa uhakika, kumetulia hakuna vumbi, vibaka au udokozi
Bei tshs. 250,000 tu kwa mwezi... tunapokea miezi 6 na kuendelea... hakuna bei kupungua.. hakuna dalali..
Karibuni