Wakazi wa Arusha: NahitajiI "used kitchen mables''

Ntu

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
1,000
649
Wakuu natumaini mu-wazima,

Nahitaji kununua used mables kwa ajili ya "viji-ujenzi" vyangu hapa mjini Arusha. Kama unazo au unafahamu wapi naweza kupata, tafadhali nijuze.
 
Back
Top Bottom