Habari zenu wote.
Mganga wa mapenzi anahitajika haraka kutoa msaada kwa jahazi linalozama katika mahusiano yangu na mchumba wangu. Mchumba wangu kabadilika ghafla kiasi kwamba hataki hata kuniona...
Wana jf, nauza viwanja.
sifa zake
1. vimepimwa na vina hati miliki ya serikali kuu.
2.via ukubwa kuanzia sq. 900 hadi 1300
3.vipo msongola manispaa ya ilala hapa Dar es salaam
4.mawasiliano 0769...
Nauza Sony Xperia z3 orignal ipo katika hali nzuri kabisa haina mikwaruzo Wala tatizo lolote bado mpya nimetumia 3moth only bei 700,000 /=
Kwa anae taka anicheki
0759733603
Na attach picha
Samsung s4 mpya inauzwa
Full accessories(earphone + charg )
Bei 350,000
Wasiliana nami kupitia 0758728258,0718327776
Pia tunapokea order za cm aina nyingine
Vipo Kigamboni/Lugwadu. Heka mbili (approx) zote ziko barabarani. Moja 10M na nyingine ni 8M. Ukitaka ukatiwe plot ndogo tutakukatia robo kwa 3M (itakuwa around 1225SQM).
Nipigie kwa maelezo...
Amani kwa wote!!
ndugu zangu mwenye kujua bei ya hizi machine za alizeti naomba anijulishe hapa na wapi naweza kuzipata kwa hapa kwetu kwa nyerere,pamoja na machine ndogo ya kuoka mikate BAKERY...
Heri ya Mwaka mpya wadau.
Nina kiwanja changu kiko maeneo ya Kigamboni, sio mbali sana toka ferry.
ukubwa ni sqm 465.
barabara ipo
kama upo interested karibu pm tubagain. bei maelewano. ahsante
Nnauza samsung galaxy j1 ace mpya
Sifa:
Internal memory 4GB
CAMERA 5 MEGAPIXEL
COLOUR BLUE
RAM 512 MB
FRONT CAMERA 2MEGAPIXEL
Nipigie kupitia 0758728258
Bei 250,000
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.