Pata Viwanja Viwili kwa Kimoja(eneo limepangika vizuri na Umeme hapo hapo.

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Jan 29, 2013
1,287
486
Plot at Kitunda Magore kwa Mpemba. Sehemu imetulia. Viwanja vimepimwa kienyeji kwa kuzingatia miundo mbinu yote especially barabara zenye upana wa 5Meters.

Vyote kwa pamoja vina ujazo wa 30 X 30=(900Sqmtrs)

Bei Tsh:14.5m.

Nguzo Moja tu ya Umeme. Maji papo yapo Unit1sawa na 50Ndoo Tsh: 2000.

Karibuni.

8.4Kms from Banana Aviation House.

Karibuni.
 
Last edited:
Hembu acheni tamaa wee kiwancha cha mita 15 kwa 15 ni kiwancha au banda la kuku?

Endeleeni kuihamisha manzese Taratibuu.Halafu mbwembwe nyingii,we umeona wapi duniani kuna barabara ya mita 5.Sema kuna uchochoro wa Mita 5.

Sina lengo la kuuwa biashara ila viwanja hivyo na inavyoonekana ni Uswazi City Plan.
Ungemalizia kwa kusema kwamba
Viwanja hivi vinauzwa kwa wenye kumiliki bodaboda na baiskeli tuuu,ila kama unagari utajua pa kulilaza.
 
Sasa hivi sina haraka, kwa haya majipu bei ya zitashuka tu,
 
Hembu acheni tamaa wee kiwancha cha mita 15 kwa 15 ni kiwancha au banda la kuku?

Endeleeni kuihamisha manzese Taratibuu.Halafu mbwembwe nyingii,we umeona wapi duniani kuna barabara ya mita 5.Sema kuna uchochoro wa Mita 5.

Sina lengo la kuuwa biashara ila viwanja hivyo na inavyoonekana ni Uswazi City Plan.
Ungemalizia kwa kusema kwamba
Viwanja hivi vinauzwa kwa wenye kumiliki bodaboda na baiskeli tuuu,ila kama unagari utajua pa kulilaza.

Hallo,

Ndio maana nikasema kuwa naviuza vyote kwa Pamoja 2 in 1. Vikiwa na size ya 30 X 30.
Kwa size hiyo mbona unajenga nyumba na parking ya Gari 3 inakuwepo.!???

Karibuni.
 
Back
Top Bottom