Kiwanja kinauzwa Korogwe Mjini

Kiwanja kinauzwa Korogwe Mjini

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,784
Reaction score
6,179
Habari,

Nauza kiwanja kipo Korogwe mjini maeneo ya kwam'mbo karibu kabisa na magunga hospitali, kiwanja kina msingi wa mawe vyumba vinne na michungwa kadhaa, kina ukubwa wa robo heka bei tsh 2.7 milioni tu.

Kwa aliye tayari tuwasiliane
0718 615 523 au 0688 990 975
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom