Mkuu hiyo mashine ni ya Umeme?Mashine ya kupigia tofali na vibao vyake viko 500 inauzwa, inatoa tofali moja la 5.5", ina mwezi mmoja tangu inunuliwe na imefanya kazi mara mbili tu.
Bei 985,000 Neg.
niPM tufanye biashara
Nahitaji lakini bei kubwa sana. Hipo laki 5 mkuu. Kama vipi tufanye biashara.Hapana mkuu sio ya Umeme