asalaam wana Jamii
natafuta nyumba maeneo ya Ilala kodi iwe kati ya 150,000 na 200,000
Nina kodi ya miezi 8
iwe na viumba viwili na jiko
umeme wa kujitegemea
na maji
yoyote aliyekua anayo...
Unazijua copy ambazo huwezi kuzitofautisha na Samsung Note 4? Ninayo moja mpyaaa, nyeupe, nzito na yenye Specs zilizoshiba, inaenda kwa Laki 3 tu. Call 0653257566
Two in one design; kuna master moja na single moja, dining, sitingroom, kitchen na public toilet. Ukubwa wa 12M x14M inafiti katika plot ya 20x20M, design nzuri kwa kupangisha.
Kwa matumizi...
Habari?
Mimi ni mfanyabiashara wa kusambaza maziwa ya Tanga Fresh hapa Dar es Salaam. Kwa sasa nimepata route mpya ya kusambaza maziwa tajwa hivyo nahitaji gari kwa ajili ya kufanyia shughuli...
Habari wadau...natumaini mu wazima wa afya...
Nilikua na uhitaji wa kito cha blue sapphire ambayo INA Pete yake either silver ama dhahabu. Mwenye ufaham ama usaidizi wa kuzipata ama wapi manunuzi...
Ninataka gari ambayo haitumii sana mafuta ,isiwe chini sana maana nipo Lushoto kwenye milima ,spea rahisi,naombeni msaada au kama naweza agiza nje kwa hiyo hela wakuu
Ndugu wanajukwaaa, heshima kwenu! Kwa muda sasa nimekuwa ninajiuliza maana ya haya matangazo ya vifo kwenye radio haswa kwa nyakati hizi ambazo teknolojia ya mawasiliano imeboreshwa kwa kiasi...
Kajumba kazuri chumba kimoja cha kulala with self toilet, sitting room kubwa, jiko zuri, mahali pa kufulia na veranda kwa ajili ya kuanikia nguo, eneo salama kabisa kando ya barabara Tabata...
Ps3 superslim inauzwa bado ni mpya na iko bomba sana katika box lake....
Unapewa;
wireless pad moja..
Usb pad moja..
Cd games 4(fifa15 hii nimenunua mcity laki na nusu,max payne 3,street...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.