Habari zenu wote.
Mganga wa mapenzi anahitajika haraka kutoa msaada kwa jahazi linalozama katika mahusiano yangu na mchumba wangu. Mchumba wangu kabadilika ghafla kiasi kwamba hataki hata kuniona, nahitaji dawa ya kumfunga kimapenzi asisikie lolote wala chochote kutoka kwa wanaume wengine. Mwenye uhakika wa kazi yake ani~pm, malipo yatafanyika baada ya matokeo mazuri kuonekana. Kama wewe ni Tapeli kaa chonjo.
Nawasilisha