Natafuta chumba cha kupanga - Mbagala Kuu.

Natafuta chumba cha kupanga - Mbagala Kuu.

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Habari wakuu,
Natafuta Chumba chenye umeme na dari maeneo ya mbagala Kuu, butcher, mgeni nani na neluka na maeneo ya karib yenye utulivu. Budget range ni 25k to 35k per month.thanks!
 
35 kodi tu?e

Kipo cha 35, umeme kum,maji kumi . karibu na neluka sekondari.

35 unalipia mwaka au miezi 6 umeme na maji kila mwezi 20
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom