NINAUZA FRIJI MPYA GAURANTEE 2 YEARS MWENYE KUITAJI ANIPIGIE SIMU +255719909267 OR +255766772967 INAPATIKANA KIGAMBONI IMETUMIKA WIKI MOJA INAUZWA SHILING 550,000/=
Juzi nilikuwa naangali tv moja ya China ambapo nilikuwa interested nilpoona wanatangaza aina fulani ya incubator ambayo yai moja yenyewe inatoa vifaranga wawili,kama ukiweka trei moja ya mayai 30...
Procedure ni rahisi kabisa
1.Tembelea website ya Sbtjapan.com
2.Chagua gari
3.Note stock ID ya hiyo gari ulochagua
4.wasiliana nami kwa (0719215909) ili nikupe utaratibu wa kuweza kuipata...
Habari wakuu,
Pagala (nyumba isiyokamilika), ipo katika hatua ya kufunga lenta(bimu) ni mpya kabisa imejengwa mwezi November 2015. Ina vyumba 3 master moja, sebule, choo cha wote, jiko na stoo...
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa...
Nauza simu hiyo, ni nyeusi iko kwenye hali nzuri sana. Specs zake kwa ufupi ni kama ifuatavyo:
· Quad core 1.5ghz processor
· 5 inch full HD screen (1920*1080) resolution at 441...
THE FREELANCING WEB DEVELOPER IS AVAILABLE WITH CODING EXPERIENCE IN HTML5,PHP,CSS3,JQUERY..I CAN DEVELOP THE FOLLOWING WEB
SOCIAL MEDIA
E COMMERCE
REAL ESTATE
MEDIA WIKIS...
Habari wana jukwaa,
Napenda kuwataarifu kuwa kupitia kampuni ya Kalahari International, tunafunga CCTV camera za kisasa na teknolojia ya kisasa kabisa kwa bei nafuu.
Ofisi zetu zipo DSM na...
KARIBU PG BUTCHERY
Pata Huduma ya Nyama nzuri, Samaki (Sato, Sangala), Maini, Nyama ya kusaga, Sausage katika Bucha yetu iliyopo Maeneo ya Ukonga Banana - RELINI kwa Mkorea.
Bei zetu ni nafuu...
TANGAZO
Abeti Schools Inawatangazia nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza mwaka 2016 na nafasi za kuhamia kidato cha pili hadi cha nne kwa mwaka 2016.
Vilevile inawatangazia nafasi za kujiunga...
Hii ni program maalumu inayoendeshwa kupitia ukurasa wa WHATSAPP,
Program hii ilianzishwa December 15,2015,ikiwa na lengo la kuelimisha jamii juu ya utumiaji lishe salama na kupunguza uzito wa...
Habari zenu wakuu,
Nauza nondo za Tanzania kwa bei ya jumla.
Zote plain na machale.
Size kuanzia 10mm mpaka 20mm.
Bei Tsh 1,290,000/=kwa tani.
Wakazi wa dar usafiri wa bure upo mpaka site...
Mliopo Dar es salaam tafadhali nifahamisheni mahala ninapoweza kumnunulia mzee wangu aina ya Air conditioner inayotumbukizwa dirishani [box type] na bei zake huko bongo!
Salaam...nauza DVR machine ya chanel 8 na camera zake 8(infrared)..DVR inaplay CD na USB.Internal memory kubwa sana pia.Nilikua nimeifunga mahali sasa nimeifunga. Bei ni laki 8...Mawasiliano...
hii iliwekwa kwenye mambo ya ughaibuni wakti ni tangazo.Nimepiga simu jamaa wanasema kuwa inawezekana hii shughuli ikaahirishwa kwani watu wamekuwa wengi kuliko walivyotarajia
sasa sijui...