Tangazo la ngoma London

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
825
hii iliwekwa kwenye mambo ya ughaibuni wakti ni tangazo.Nimepiga simu jamaa wanasema kuwa inawezekana hii shughuli ikaahirishwa kwani watu wamekuwa wengi kuliko walivyotarajia

sasa sijui itakuwaje lakini i was really looking forward for this

nimemshauri bora wawe wanafanya ngoma kwa ma borough mbali mbali badala ya sehemu moja
Tangazo La Shughuli.

Familia Ya Kina Kilemela Ya Great Ormond Street London, Ina Furaha Kuwatangazia Shughuli Ya Ngoma Ya Binti Zao, Asia Na Fatma Kilemela Itakayofanyika 65 Orde Hall Street, Great Ormond, Holborn, London.

Shughuli Itaanza :

27 April 2008 Ndoweka,

Tarehe 1 May Mbiga,

Tarehe 2 May Mkole,

Tarehe 3 May Mkesha,

Tarehe 4 May Kutoka.

Hakuna Mchango Wowote Wa Kifedha Unaohitajika.

Sare Ni Khanga Zimeandikwa "hi Hivihivi Tuu", Au Kitenge Cha Wax, Ambavyo Vimeshaagizwa Kutoka Bongo Na Unaweza Kuvipata Kwa £7:50.
Vanga, Mdundiko, Mkinda Na Gombe Sugu Vimealikwa Kutoka Bongo.kwa Maelezo Zaidi Fika Nyumbani (adress Hiyo Hapo Juu),

Au Piga Simu Namba 07826007942.

Kufika Kwenu Ndo Ukamilifu Wa Shughuli Hii.

Ahsanteni.
 
INATIA MOYO KUONA UTAMADUNI WETU UNAKUMBUKWA NA MLIOKO UGHAIBUNI...........!ONYO.....!ISIJEKUWA KILE KIUTANI CHA KATI YA MZUNGU,MUHINDI NA MWAFRIKA........MWAFRIKA AKACHAGUA.......!
 
hii iliwekwa kwenye mambo ya ughaibuni wakti ni tangazo.Nimepiga simu jamaa wanasema kuwa inawezekana hii shughuli ikaahirishwa kwani watu wamekuwa wengi kuliko walivyotarajia

sasa sijui itakuwaje lakini i was really looking forward for this

nimemshauri bora wawe wanafanya ngoma kwa ma borough mbali mbali badala ya sehemu moja
Mkuu Game Theory hivi hawa wanawali walishapata waume au bado maana huu mkolee uliofanyikia Ughaibuni natumai watakuwa wamekwiva kweli kweli
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom