Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wanabodi, Nilikuwa nafuga kuku wa mayai, lakini nimepata dharura inayohitaji fedha na hivyo kushindwa kumudu kuwalisha kuku hao wapatao 280 ambao hivi sasa wana miezi mitano na siku yoyote...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nauza Toyota Brevis namba T 377 DBU) CC 2500 rangi ya Silver Imetembea KM 85,000 Haijawahi kupata ajali yoyote na ipo Dar es Salaam Bei Tsh Ml. 9,7000,000 0654 998326
0 Reactions
10 Replies
5K Views
wasalaam wakuu, chumba maeneo tajwa hapo juu" ni vema mpangaji akawa bachelor/au hata student kulingana na masharti ya mwenye nyumba wakuu" kwa mawasiliano 0653918931
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naombeni msaada,mimi nina king'amzi cha continental na tv ya rising flat screen pamoja na ya kichogo. Bahati mbaya tv ya rising haitoi sauti nikiunganisha tena hata nikiweka flash bado shida ni...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
husika na mada tajwa hapo juu mwenye simu tajwa hapo juu anicheki tafadhari
0 Reactions
1 Replies
871 Views
Brandnew Selfie Sticks for sale Green, Blue and Black colours are available Price 16,000 Contact 0784780955
0 Reactions
0 Replies
701 Views
Wadau kuna Kiwanja kina nyumba kinauzwa, eneo ni Kitunda karibu na Chama cha Biblia 2.5km kutoka Kitunda Relini, Banana, I. Eneo ni kubwa, ni feet 23*23 . Bei ni tsh mil 28 kipo barabarani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Km unajua bei ya pikipiki hizo kwa dar na mwanza nijuze tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Nahitaji kitanda cha 4?6 kwa bei nafuu Kwa mawasiliano nitafute 0715797533 nipo dar ubungo maji.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau Nahitaji viti vya salon ya kiume kwa bei poa! kwa yeyote mwenye navyo anitafuta kwa namba 0714 40 55 65. Nipo kimara -Dsm.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nipo hapa kariakoo mwenye nayo plz anipm au anielekeze zinapouzwa.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
gari ni toyota land cruiser GX, naiuza ikiwa haina shida yoyote gear manual 4wd model ya mwaka 1992 H1z engine 4200 cc Bei yake ni milioni 10,maelewano kidogo yapo note:unaweza kulipa kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Simu haina tatizo lolote imetumika miezi sita tu
0 Reactions
0 Replies
891 Views
mita 20*30 Vipo Mapinga km 2 Kutoka barabara ya lami iendayo Bagamoyo Vipo viwili unaweza kuvinunua vyote ukaviunganisha. bei Tsh 6m. contact: 0765 178 494
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tuna design motor na kuzi wind...kwa bei nafuu Tupo ubungo msewe Tuwasiliane 0715797533
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Nauza viwanja vilivyopimwa. Vpo Morogoro maeneo ya Mkundi.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nauza kiwanja maeneo ya dege Kigamboni jiran na magorofa ya NSSF....hakijapimwa ila kina mita kama 28*25. Kipo jiran kabisa na barabara. Kwa mwenye kuhitaji tuchekiane 0713806766. Bei ni milion 5...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari msomaji! Natafuta kanga jike 3-5 wa kufuga. Niko maeneo ya DSM. Yeyote atakaye kuwa nao kuanzia saizi ya kati hadi wakubwa aniPM au ajibu hapa. Nahitaji majike tu!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana Board, Ninauza kiwanja changu chenye ukubwa wa NUSU HEKA. Kipo Mbullu nyuma ya kanisa katoliki, kimepimwa na kina offer. Bei ni Tsh 5,000,000/=. Mwenye kukihitaji apige simu namba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom