Nauza maziwa kama ifuatavyo:
Fresh lita tsh 1500.
Mtindi lita tsh 2000.
Nauza kuanzia lita 5 na kuendelea.
Yanapatikana siku za Ijumaa, jumamosi na jumapili.
Ukihitaji ni pm tufanye biashara
Tunatoa huduma za:
- kuandika katiba za makampuni na NGOs
-kuandika Business plans
-kuandika company & NGO profiles n.k
Email: hoseabenjamin88@gmail.com
simu: 0752238263
Nyumba hii.ina uzwa ina miaka ina vyumba vitano ukitoa ukumbi na jiko ina mjengo wakupangisha vikiwemo vyumba vya nje na vya ndani kisima na vyo vya nje na vya ndani asante. Tsh 95m. Asanrte
Habari wanajamii
Kwa wale wenye uhitaji wa website ama blog suluhisho ni hapa..
Nipatie kazi nikukabidhi ndani ya wiki moja ikiwa katika viwango na ubora wa kimataifa..
Kwa mawasiliano
Website...
Nyumba inauzwa maeneo ya Lash Garden kwa nyuma kama unapandia hii njia ya kwenda ST PATRICK TRUST SCHOOL.Ina bedrooms 4, tatu ni Master ,ina sitting room, kitchen, dinning room, library. Na ina...
Shirika la ndege la Etihad limetajwa kuwa Shirika la Ndege la Mwaka wakati wa tuzo za Business Travel 2016. Hafla hii ilifanyika jana usiku katika hoteli ya Grosvenor House iliyopo Jijini London...
Waungwana nahitaji mwalimu mzuri(mtalaam) wa kufundisha mtoto wa darasa la kwanza muda wa ziada. Mwalimu awe anauzoefu wa kufundisha shule za mfumo wa kiingereza. Eneo kigamboni, muda saa 11...
Aina ya Asus imetumika kidogo sana HD 500GB, RAM 4GB, CORE 3 inakaa na chaji zaidi ya masaa 5 ikiwa busy tu.
Ipo vizuri sana.
Nicheck 0713791233 au 0765791233
Hi everyone!
natoa huduma ya malazi maeneo ya arusha mbauda. vyumba vyangu ni vya kisasa na vyenye standard ya hali ya juu. kila chumba ni self contained, kitanda cha chuma, heater ya maji moto...
Habari wanajamii wenzangu.
Kwa wale wenye uhitaji wa website ama blog suluhisho ni hapa..
Nipatie kazi nikukabidhi ndani ya wiki moja ikiwa katika viwango na ubora wa kimataifa..
Kwa mawasiliano...
Kipo eneo la Baraza la mitihani.. Kwa wasiofahamu unashuka Mbezbeach makonde Baraza lipo kwa juu dakika 15 Kutoka barabarani kituo cha makonde. Changamkia fursa, ukija njoo na pesa yako Kabisa...