Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta Mashine ya Selcom, kama unayo nipm au nicheki kwa
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Top 4 na base 2 pamoja na rec yake naiuza iko complete...sijautumia Sana na vifaa vyote vino ktk hali nzuri Sana.. Bei t Yake ni million 7,fursa kwa wale wanaotaka na kujua biashara ya ukodishaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau Nahitaji kununua maharage kwa wingi kwa biashara endelevu hasa toka mikoa ya Mbeya ,Arusha,Ruvuma ,hasa kutoka kwa wanaolima mashamba makubwa , kama uko serious ni pm ,au piga namba...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Kiwanja kinauzwa maeneo ya Mbande mwembe bamia, temeke Dar es salaam. Milioni 11. Kinafaa kwa flemu kwa kuwa kiko karibu na barabara ya mtaa au unaweza jenga na nyumba. Ni kilomita karibia na moja...
0 Reactions
1 Replies
368 Views
It's very urgently, Kiwanja kinahitajika mbeya kwa ajili ya makazi Any idea nichek 0757865489
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rejea kichwa cha habari natafuta min-laptop mpya kwa bei poa kama kuna mwenye nayo pliz anichek
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ram 4gb Hdd 320 Processor 2.67 Core i3 Wifi 3G Window 8 Betre 3-4hrs Mult cd rom Web camera size 14.1 0712191251 Bei 480000tu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kwa anayehitaji kununua asali ya nyuki wakubwa, tunauza kwa jumla sh 220,000 kwa dumu la lita 20. Yapo madumu zaidi ya 50 kama utahitaji nyingi. Kwa wanaotaka kujiongezea kipato wanaweza kununua...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ipo karibu na Lion Hotel ina 4 bedrooms na iko fenced; bei 350m/= mazungumzo yapo. Ni pm tafadhali
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Fridge / FREEZER (KENWOOD SIDE BY SIDE 502ltrs American style DC6)
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kipo ndani ya geti ni full tiles maji muda wote bei laki 2 negotiable mwenye kuitaji plse PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za leo? Kuna nyumba inapangisha vyumba viwili vya kulala,utashea jiko na bafu na choo na familia nyingine moja. Vyumba vipo maeneo ya Tanesco,Tanga mjini. Bei ni 90,000/= kwa mwezi kwa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Mitsubish Rosa for Sale NEGOTIATION Call.0713669533 and 0713623575 For more picha whats app namba. 0713669533. Karibuni
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tunatoa huduma zifuatazo: 1. Tunaandika katiba za Makampuni na NGOs 2. Tunaandika Business plans za biashara, makampuni na NGOs 3. Tunaandika Memorandum and Articles of Association za makampuni...
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Kwa yeyote anaeitaji msaada wa kuandaliwa researches na Dissertations kwa undergraduates na postgraduates ani PM.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu tunasambaza vifaa vya ujenzi kwa bei nzuri pamoja na kukuletea hadi site kwako kwa maeneo yote ya pwani na dsm. Tunauza vifaa kama Rangi aina zote, gypsum powder, white cement, mikanda ya...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
COMBINE HARVESTER INAUNZWA tunauza mashine ya kuvunia nafaka tofauti (COMBINE HARVESTER) ipo imara sana na inafaa sana kwa mazingira ya hapa kwetu inaweza kuishi mda mrefu na ni simple sana...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Nimefanikiwa kufungua kampuni ya clearing and forwarding na inashughulika na clearance ya mizigo yote inayoingia na inayotoka (import and export) bandarini kwa gharama inayoendana na hitaji la...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Kitanda cha 6*6 cha mninga kinauzwa , kipo kwenye hali nzuri. Kimetumika mwaka na nusu. Kipo na Chaga zake(Pia chaga zake ni mninga). Muuzaji anahitaji hela ya haraka. -0684 14 14 76 Kipo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Fridge ni jipya Kabisaa... Halijatumika. Lipo mbezi near Temboni... Contact: 0654766056 Call, Text, Whatsapp.. Bei 720,000
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom