SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 614
RAm za 2GB zinauzwa. Bei elfu 20 tu. Kama unataka niPM
napatikana Gongo la mboto,Dar es salaam
napatikana Gongo la mboto,Dar es salaam
RAm za 2GB zinauzwa. Bei elfu 20 tu. Kama unataka niPM
napatikana Gongo la mboto,Dar es salaam[
chukua buku 10 mkuu
Unazo za aina gani? Je ni DDR3 au DDR2?RAm za 2GB zinauzwa. Bei elfu 20 tu. Kama unataka niPM
napatikana Gongo la mboto,Dar es salaam
uko wapi mkuu?Mie ninazo nne za 4gb ddr3 @25,000/= kila moja
Unapatikana wapiMie ninazo nne za 4gb ddr3 @25,000/= kila moja
Unapatikana wapi
Acha usenge basi128 GB Ram...Nani anayo!?
Niache usenge kivipi..Kama hauna unacomment ya nini mimi naulizia mwenye 128 GB Ram au unadhani hamna..Nenda kagoogle uone nani msenge mimi au wewe...Acha usenge basi
Duh, mkuu yote hiyo ya kazi gani?128 GB Ram...Nani anayo!?
Mkuu tatizo lako wew utakuwa ushazoea zile mashine za celeron RAM 2GB bas ukajua ndo mwisho huo!Acha usenge basi
Ona Ushamtibulia mwenzio soko, unatafutwa wew tu mwenzio walaaa!Mie ninazo nne za 4gb ddr3 @25,000/= kila moja
Ona Ushamtibulia mwenzio soko, unatafutwa wew tu mwenzio walaaa!
128 GB Ram...Nani anayo!?
Hapana mpaka leo sijatafutwa na mtu hata mmoja kati ya walioniuliza, so nahisi ameshaziuza zake jamaa
Hizo ram ni za pc au laptop? Kuna mdogo wangu anazitafuta
Mijitu mingine bhana aaargh128 GB Ram...Nani anayo!?