Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tahadhari: Sitaki dalali kwenye biashara hii!
0 Reactions
4 Replies
991 Views
Kusema kweli nimeshafanya biashara na wakuu humu walio serious kwenye JF matangazo, ila sasa tumevamiwa humu, na Akina moderator watu wanajua hilo. Tunatangaza biashara ila watu hawako serious...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Make:BMW Model:5series Fuel:diesel Year:2014/2015 Colour:Alpine white Km:6255 Price:55,000 usd negotiable
0 Reactions
0 Replies
1K Views
True Ink Associates would like to Announce that the Fifth CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Class is scheduled to commence on Monday 11/01/2016, Dar Es Salaam City Center...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Eneo la kiwanja linauzwa mbezi shamba (goba)lina upana wa miguu 20 na urafu 15,limwjengwa vyumba viwili na halipo mbali na barabara umeme upo,kwa atakayehitaji eneo lina nyaraka zote na sababu ya...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Habari wana Bodi Mashamba yanauzwa Mikese Morogoro. 2 km kutoka barabara kuu Bei: laki saba (700,000) kwa ekari 1. Tuwasiliane kwenye PM na 0767 836 872
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tunahitaji kampuni yenye malori semi trailers, truck and trailers 32 tons to 36 tons @ kwa ajili ya kusafirisha cement kuanzia leo 18/02/2016 hadi mwisho wa mwezi huu Dar es salaam to...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hi everyone , Natafuta Suplier wa cookies zitakazotumika kwenye meetings /Vikao vya bodi n.k Nchek inbox Kama unaweza hii kazi au una kampuni ya ku supply kila mwezi njoo inbox tuelewane
0 Reactions
0 Replies
468 Views
Kuwa na website yako kwa ajili ya biashara, taasisi au wasifu wako kwa sasa ni rahisi zaidi. Kwa 20k pesa ya Kitanzania unaweza kuhost website yako kwa mwezi mzima. Hakuna gharama za ziada wala...
0 Reactions
3 Replies
902 Views
Ninauza gari hiyo ahsanteni!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Salaam ndugu zangu wana JF labda zaidi wa Mtwara! Nahitaji nyumba ya kupanga(nzima/yote), Mtwara mjini haswa karibu na maeneo zilipo Lodges/Guest houses . Mkataba wa miaka 3-5. Hata kama ilikuwa...
0 Reactions
2 Replies
883 Views
Gari eidha iwe namba A au B.. kama ipo nicheki : 0767287941
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Lipo Mbeya jiji barabara ya inyala hospital kama unaelekea inyala secondary, linaukubwa wa hatua 30 kwa 18 bei ni 5M. Nicheck kwa namba 0714374155 au 0753199179.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salama kabisa! Nina surveyed plots in kigamboni mbele ya kimbiji kunaitwa PUNA na KWA CHALE. Kwa chale ni karibu na JKT ya kimbiji. Na pia ninavyo POTEA njia ya kwenda Tundwi. Kutoka ferry 1...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Imepangishwa. Asanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nataka landcruser v8 ya mwaka 2013 /14,diesel an auto budget dollar 85k,km unayo au unaconnection na mtu ambaye anayo nicheck hapa 0678224427,isiwe ya kusubiria
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Naitwa x,nauza eneo lenye vyumba viwili,eneo lipo mbezi (goba)sio mbali na barabara na umeme upo namba zangu kwa atakayehitaji ni 0785-458405
1 Reactions
0 Replies
879 Views
Back
Top Bottom