Web Hosting For Tshs.20,000/= Per Month

DLaDLa

Member
Jul 8, 2012
10
10
Kuwa na website yako kwa ajili ya biashara, taasisi au wasifu wako kwa sasa ni rahisi zaidi. Kwa 20k pesa ya Kitanzania unaweza kuhost website yako kwa mwezi mzima. Hakuna gharama za ziada wala zilizofichika. Utapata huduma zifuatazo:

One Domain name bure
Utapata Control Panel yako ya CPanel
Unlimited email accounts
Unlimited bandwidth
Unlimited storage
Video streaming
Audio streaming
Unlimited domain
Na nyingine nyingi

Pia tunaweza kuifanya website yako ikawa application ya simu za Android na ikapatikana kwenye Google Play Store kwa bei poa kabisa. Wahi sasa upate na zawadi moja ya bureeeeee! Ofa hii ni kwa muda mfupi tu.

Kwa maelezo zaidi:
Email: info@bukutano.com
Simu: 0715 255 350
 
Sijaelewa hapo kidogo"unaweza kuhost website yako kwa mwezi mzima".. Baada ya huo mwezi makubaliano yanakuwaje mkuu
 
Asante sana Koh Koh, kiwango hicho ni kwa mwezi mzima na ukitaka hosting ya mwaka mzima unazidisha mara 12. Unaponunua hosting ya mwaka mzima utapata discount nzuri kabisa na utaokoa zaidi pesa yako huku ukiitangaza biashara yako dunia nzima. Pia kama huna website tutakutengenezea bure kabisa iwapo haizidi kurasa 10.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom