Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,123
- 2,446
Kusema kweli nimeshafanya biashara na wakuu humu walio serious kwenye JF matangazo, ila sasa tumevamiwa humu, na Akina moderator watu wanajua hilo.
Tunatangaza biashara ila watu hawako serious unafikiri sio watu wazima, pia wengi ni ujinga wewe umeona gari imetangazwa ya M 55 alafu una comment nina M2, huo ni ujinga, usije ukaona watu watakusifu!
Kama huna pesa jiangalie hata pikipiki, hapo sasa pikipiki inatangazwa ya M1 na picha Juu tena namba kaweka mtu anacoment nitakupa elf 50 huo ni upumbavu, yani M1 mpaka 50.
Hebu wakuu tuwe serious na maisha, na alafu anayetangaza ana PhD alafu anaejibu kipumbavu hata six hajafika.
Usidhani mtu anaetangaza biashara ni hohehahe..