Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

Sara Mgonjs

Member
Feb 20, 2016
17
3
Eneo la kiwanja linauzwa mbezi shamba (goba)lina upana wa miguu 20 na urafu 15,limwjengwa vyumba viwili na halipo mbali na barabara umeme upo,kwa atakayehitaji eneo lina nyaraka zote na sababu ya kuuza ni mwenyewe anahama mji.mawasiliano ni 0785-458405
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom