Nyumba (tafadhali tazama picha) iliyoanza kujengwa inauzwa. Iko Goba Tegeta A, au Kwa Bedui.
Kiwanja ukubwa wake ni 50 by 26. Inauzwa 37m.
Serious buyer contact 0755 092 734.. 0754 810853
Hii sim imetumika wiki tuu sasa tangu kununuliwa ni original, 32GB na ina 3GB ram camera 16Mpx na ina record video 4K ina heart beat rate monitor (built in) na specification zingine kibao
ppiga...
Viwanja viko mbezi mpiji magoe ukubwa kuanzia 22x20 bei 4.5milion.
Viko kandokando mwa barabara ya mbezi kwenda mpiji magoe. Huduma muhimu kama maji, umeme, hospital na shule zinapatikana.
Kwa...
Habari wanajamvi, nauza Kiwanja change chenye ukubwa wa 35x45 mita, kimepimwa na manispaa ya morogoro, kina ofa. Nauza kwa bei ya tsh 10M haipungui. Eneo lipo kihonda Kilimanjaro ( karibu na eneo...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nimepewa jukumu la kutafuta nyumba kadhaa Geita zenye sifa zifuatazo kwa ajili ya kupanga:
1. Yenye walau vyumba 2-3
2. Lazima kuwe na 2 bathrooms
3. Fence na...
Jamani wadau nauliza sehemu ambapo inapatikana vifusi vya lami kama mabaki ya barabara ya lami baada ya kukwanguliwa either kwa kukosewa kujengwa (chini ya ubora) au kufikia maximum life span...
Waungwana nahitaji laptop Nzuri USED yenye minimum specs Corei5 iwe clim 14'' abayo iko kwenye hali nzuri second hand kutoka nje. kama kua anaejua wapi naweza pata huko Dar
Merci mingi
Habar zenu naomben mnisaidie kuniambia review class kwa ajili ya ATEC I & II ikiwepo maeneo ya posta,kariakoo ndo itakuwa fresh zaidi. Tafadhali nisaidien. Ahsanteni.
Kwa maelezo ya kina, simu zetu na anwani tembelea tovuti yetu: www.tepu.co.tz
Ofisi kuu yetu iko katika jengo la Tepu House, Uganda Road, Kiwanja Na.45 kitalu MDA, Manispaa ya Bukoba.
Kwa...
Habari wana JF,
Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya mambo yahusuyo masuala ya biashara,humu tutapeana mbinu mbalimbali za kibiashara ili uweze kufanikiwa na kuifanya biashara yako kuwa imara na...
COMBINE HARVESTER INAUNZWA
Tunauza mashine ya kuvunia nafaka tofauti (COMBINE HARVESTER) ipo imara sana na inafaa sana kwa mazingira ya hapa kwetu, inaweza kuishi muda mrefu na ni simple sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.