Tafuta haraka magari ya kusafirisha

SOKO LA MAGARI

Senior Member
Oct 26, 2014
115
66
Tunahitaji kampuni yenye malori semi trailers, truck and trailers 32 tons to 36 tons @ kwa ajili ya kusafirisha cement kuanzia leo 18/02/2016 hadi mwisho wa mwezi huu

Dar es salaam to Mwanza , Bukoba, Kigoma , Musoma,

Kama unayo tuma sms 0689 165641 au PM
 
Tunahitaji kampuni yenye malori semi trailers, truck and trailers 32 tons to 36 tons @ kwa ajili ya kusafirisha cement kuanzia leo 18/02/2016 hadi mwisho wa mwezi huu

Dar es salaam to Mwanza , Bukoba, Kigoma , Musoma,

Kama unayo tuma sms 0689 165641 au PM
Gari ziwe ngap mkuu! Na mtazisimamia wenyewe au?
 
Tafadhali naomba contact/simu zao

Vp mkuu mmeshapata magari? Kama bado mnalipa bei gani kwa ton kwenda hiyo mikoa? Je mnatoa advance payment? Mna ton ngap kwa ujumla za kusafirisha katika kipindi hicho? Kwa sheria za nchi hii I doubt kama itawezekana kusafirisha ton 36 kwa gari.
 
Habari Mkuu?
Hayo malori umeshayapata? Kama bado kampuni yetu kazi hii tunaiweza. Lakini kabla ya yote naomba kupata dondoo muhimu katika kazi yako hii ya simenti. Dondoo hizo ni kama ifuatavyo
1. Kuna mkataba wa iyo kazi kuwekana salama
2. Terms za malipo zipo vipi nikiwa na maana kwamba a. Rates kwa tani kwa kila mkoa ni bei gani b. Advance payment ni kiasi gani au asilimia ngapi kutoka katika jumla ya tani zilizobebwa c. Final balance inalipwa kule tunakopeleka simenti au hapa Dar na kama ni hapa Dar baada ya muda gani mnalipa
3. Simenti hiyo inapakiwa hapa Dar au wapi
4. Oda ipo tayari au ndiyo mpaka gari zikakae kiwandani kwa wiki kadhaa mpaka uzalishaji
Maelezo ya ziada
Suala la usimamizi ni juu yetu kama ukihitaji tracking report utapata mara 2 kwa siku hakuna tatizo
You are warmly welcome
Afrolink Tz logistics
 
Back
Top Bottom