Big up, kama ningekuwa karibu ningekuletea picha ya familia yangu iuchore kwenye kitambaaNinapatikana Dar-es-Salaam, wasiliana nami msanii wa sanaaa ya uchoraji ninafanya michoro ya watu(potrait drawing & painting ) nakukaribisha kama unahitaji kuchorwa wewe,mpenzi wako,mke wako, mumeo,patner,mtoto,baba,mama, familia nzima,au inaweza kuwa zawadi kwa ajili ya shughuli kama harusi,ubarikio,n.k nadhani zawadi ya aina hiyo ni ngumu kusahaulika kwani hudumu milele,
Gharama hutokana na ukubwa wa picha yenyewe na materials yaliyotumika kukamilisha picha hiyo kama vile pencil,pen,pencil colour,paints,n.k gharama inajumuisha frame ya huo mchoro wako
mchoro size A3 pencil only inaweza kuwa pencil za kawaida (graphit pencil) au pencil rangi (coloured pencils) ni tsh 60000,size A4 ni Tsh 40000 mchora wa rangi kimiminika (painting) iwe mafuta hadi acrylic gharama huanzia 100000 kutokana na picha yenyewe,mchoro kwa kalamu wa wino(bic) ni Tsh 45000 size A4 only
unachotakiwa kufanya unachagua picha uipendayo yenye details vizuri(mwonekani angavu),au picha unayotaka ichorwe, au inaweza kuwa ulipiga selfie yako nzuri pia tunafanya graphics design(logos n.k) pamoja na photographing , printing, etc karibuni nimeambatanisha baadhi michoro kadhaa 0674 522382,pencilspecialist255@gmail.com, instagram @erick.creative)
Hivi huwa mnatumiaga kifaa gani? Mbona mi sipati tatizo la kutoona picha?picha hazifunguki mkuu, hebu jaribu kupost tena
hii biashara yako picha ndio zinaongea kuliko maandishi
mara nyingi natumia jamiiforums app kwenye smartphone, inasumbua sana kwenye picha, ila za huyu mdau zinaonekana sasa hiviHivi huwa mnatumiaga kifaa gani? Mbona mi sipati tatizo la kutoona picha?
Picha 4 za juu. Magufuli, Majaliwa, Joketi na Ommy Dimpoz hizo nakubali umechora.
But hizo nyingine umetia uongo hapa plus hakuna hata signature yako. Japo hata ungeweka ningejua.
Finally kwa hizo za juu bado kazi yako ni nzuri.
poa mkuuNinapatikana Dar-es-Salaam, wasiliana nami msanii wa sanaaa ya uchoraji ninafanya michoro ya watu(potrait drawing & painting ) nakukaribisha kama unahitaji kuchorwa wewe,mpenzi wako,mke wako, mumeo,patner,mtoto,baba,mama, familia nzima,au inaweza kuwa zawadi kwa ajili ya shughuli kama harusi,ubarikio,n.k nadhani zawadi ya aina hiyo ni ngumu kusahaulika kwani hudumu milele,