Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jipatie Samsung Galaxy Grand prime mpya kwa 380000 tu maongezi yapo...piga 0768643685
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Eneo la kiwanja linauzwa mbezi shamba (goba)eneo limeshajengwa vyumba viwili na halipo mbali na barabara pia umeme upo,bei ni kwa yule anayehitaji kwa mawasiliano piga 0785-458405
0 Reactions
1 Replies
921 Views
Salama kabisa! Nina surveyed plots in kigamboni mbele ya kimbiji kunaitwa PUNA na KWA CHALE. Kwa chale ni karibu na JKT ya kimbiji. Na pia ninavyo POTEA njia ya kwenda Tundwi. Kutoka ferry 1...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
UKUBWA: SQM 900, UMEME UPO NA BARABARA HADI KWENYE KIWANJA. KIWANJA KIMEKATWA, MWENYE KIWANJA AMEJENGA PEMBENI. KIWANJA HAKIJAPIMWA, ILA HAKINA MGOGORO NA MWENYE KIWANJA YUPO JIRANI. BEI...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Xhjvjkbvgnkiffkrr
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza water pump mpya haijatumika bei ni maelewano kwa anayehitaji.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shamba lenye ukubwa wa eka 50 linauzwa katika kijiji cha Mafuru kilichopo ndani ya wilaya ya mvomero Morogoro. Kila heka ni tsh laki NNE tu, ukinunua unapewa hati ya kijiji. Ukihitaji heka chache...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Tahadhari: Sitaki dalali kwenye biashara hii!
0 Reactions
4 Replies
973 Views
Kusema kweli nimeshafanya biashara na wakuu humu walio serious kwenye JF matangazo, ila sasa tumevamiwa humu, na Akina moderator watu wanajua hilo. Tunatangaza biashara ila watu hawako serious...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Make:BMW Model:5series Fuel:diesel Year:2014/2015 Colour:Alpine white Km:6255 Price:55,000 usd negotiable
0 Reactions
0 Replies
1K Views
True Ink Associates would like to Announce that the Fifth CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Class is scheduled to commence on Monday 11/01/2016, Dar Es Salaam City Center...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Eneo la kiwanja linauzwa mbezi shamba (goba)lina upana wa miguu 20 na urafu 15,limwjengwa vyumba viwili na halipo mbali na barabara umeme upo,kwa atakayehitaji eneo lina nyaraka zote na sababu ya...
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Habari wana Bodi Mashamba yanauzwa Mikese Morogoro. 2 km kutoka barabara kuu Bei: laki saba (700,000) kwa ekari 1. Tuwasiliane kwenye PM na 0767 836 872
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tunahitaji kampuni yenye malori semi trailers, truck and trailers 32 tons to 36 tons @ kwa ajili ya kusafirisha cement kuanzia leo 18/02/2016 hadi mwisho wa mwezi huu Dar es salaam to...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hi everyone , Natafuta Suplier wa cookies zitakazotumika kwenye meetings /Vikao vya bodi n.k Nchek inbox Kama unaweza hii kazi au una kampuni ya ku supply kila mwezi njoo inbox tuelewane
0 Reactions
0 Replies
464 Views
Kuwa na website yako kwa ajili ya biashara, taasisi au wasifu wako kwa sasa ni rahisi zaidi. Kwa 20k pesa ya Kitanzania unaweza kuhost website yako kwa mwezi mzima. Hakuna gharama za ziada wala...
0 Reactions
3 Replies
896 Views
Ninauza gari hiyo ahsanteni!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Salaam ndugu zangu wana JF labda zaidi wa Mtwara! Nahitaji nyumba ya kupanga(nzima/yote), Mtwara mjini haswa karibu na maeneo zilipo Lodges/Guest houses . Mkataba wa miaka 3-5. Hata kama ilikuwa...
0 Reactions
2 Replies
873 Views
Back
Top Bottom