Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza CRV Honda ya mwaka 1999, rangi ya dark blue. Ipo Arusha ni nzima ina insurance na road licence mpaka July.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Waungwana nahitaji laptop Nzuri USED yenye minimum specs Corei5 iwe clim 14'' abayo iko kwenye hali nzuri second hand kutoka nje. kama kua anaejua wapi naweza pata huko Dar Merci mingi
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiwanja kina hati na kina ukubwa wa Sq metre 1,516. Bei ni 22.5 million . Pia mazungumzo yapo. Karibu sana 0718 385 553
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar zenu naomben mnisaidie kuniambia review class kwa ajili ya ATEC I & II ikiwepo maeneo ya posta,kariakoo ndo itakuwa fresh zaidi. Tafadhali nisaidien. Ahsanteni.
0 Reactions
2 Replies
937 Views
Hop
0 Reactions
1 Replies
606 Views
Kwa maelezo ya kina, simu zetu na anwani tembelea tovuti yetu: www.tepu.co.tz Ofisi kuu yetu iko katika jengo la Tepu House, Uganda Road, Kiwanja Na.45 kitalu MDA, Manispaa ya Bukoba. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF, Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya mambo yahusuyo masuala ya biashara,humu tutapeana mbinu mbalimbali za kibiashara ili uweze kufanikiwa na kuifanya biashara yako kuwa imara na...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
COMBINE HARVESTER INAUNZWA Tunauza mashine ya kuvunia nafaka tofauti (COMBINE HARVESTER) ipo imara sana na inafaa sana kwa mazingira ya hapa kwetu, inaweza kuishi muda mrefu na ni simple sana...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Bei ni maelewano tu, inahitaji marekebisho kidogo. simu 0755280216. Whtasaap 0764646211.
0 Reactions
0 Replies
929 Views
ram 4gb hdd 250 core i5 mult cd rom 3g camera size 14.1 wifi bluetooth betre 2 to 3 hrs 450000 0712191251
0 Reactions
1 Replies
674 Views
Naitaji kwa week zitatumika hapa hapa mjini Ni pm twende sawa
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Iko kimara temboni njia ya kuelekea saranga,nyumba hiyo Ina ngaliana na barabara ya lami... Eneo hilo panafaa Sana kuwekeza dispensary maana ktk eneo hilo hakuna huduma hiyo, Nyumba hiyo Ina...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Kama habari inavyojieleza ......imetumika miezi miwili tuu....sifa ni hizi hapa ina ukubwa wa 8inches. RAM1.5GB,16GB HDD ni white na condition haina tofauti na mpya.Price ni 500000/= njoo tufanye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
2GB ram 16internal storage Price 250000
0 Reactions
6 Replies
948 Views
Jaman wana jamvi naombeni msaada, nina tv ya nchi 52 led sumsung imepata tatizo la kutoonyesha vizuri wapi naweza pata fundi wa kunirekebishia
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Vyote chukua kwa million 1 na nusu! Location:dar Mob:0718295182
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye gari ndogo saloon ya kukodi pls PM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
salaam nimefanikiwa kuandika kitabu chenye jina "akipatikana nafuu" lakini sikuweza kufanikisha kukiendeleza, taratibu za awali za kukifanya kitabu kutumika kama riwaya ya kufundishia...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Bei ni maelewano tu, kuna vitu inahitaji kufanyiwa marekebisho. namba ya simu ni 0755280216. Gari yenyewe.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza Toyota hilux, 2.8. Inatumia 2.8 liters 3L diesel engine. Iko katika hali nzuri na iarecords nzuri za service. iko Tegeta Dar es salaam.rangi imebadilishwa toka nyeupe na kuwa grey. Bei ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom