TILL YA M-PESA INAUZWA 100,000/= TU

Eng kihonza

Member
Mar 3, 2016
41
13
Habari waungwana,
nauza till ya m-pesa kwa bei tajwa hapo juu.
Kwa mahitaji tuwasiliane kwa no 0755875710
npo kibanda cha mkaa mbezi(DAR ES SALAAM)
 
Habari waungwana,
nauza till ya m-pesa kwa bei tajwa hapo juu.
Kwa mahitaji tuwasiliane kwa no 0755875710
npo kibanda cha mkaa mbezi(DAR ES SALAAM)
Je ulikuwa unaitumia au ilikuwa pending tu, na vipi kuhusu kuswap jina? Mapatano yapo au?
 
Unauza na kitabu chake au? kama ndivyo unitafute haraka sana maana nina pesa yako hapa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom