Harvester inauzwa

hassara

Member
Jan 27, 2016
47
3
MASSEY FARGUSON COMBINE HARVESTER INAUNZWA

Tunauza mashine ya kuvunia nafaka tofauti (Combine harvester) ipo imara sana na ni simple sana kuifanyia matengenezo pindi inapo haribika..
Kutoka Denmark na haijatumika hapa Tanzania, ukivuna msimu mmoja tu ekari 350 utakuwa umerejesha hiyo hela. kama wewe ni mkulima isikupite hii..
Mashine ipo Mbweni Daresalaam.
Bei ni Milioni 34 TSH.
Tuwasiliane 0714242879 ..0713676035 au binjaba5000@hotmail.com
IMG-20150813-WA0007.jpg

IMG-20150813-WA0007[1].jpg

IMG-20150813-WA0008.jpg
 
Umeingiza lini nchini?
Kutoka nchi gani?
Ilikua inatumika wapi hapa Tanzania?
Kwanini unaiuza?
 
Inazaidi ya mwaka nchini..haijafanya kazi kabisa hapa nchini imepark Tu..na kua naiwasha maramoja moja.. Nimekosa msimamizi ndio nauza.. Kutoka Denmark.. Mashine ipo vizuri Sana..na bei ni rahisi Sana hiyo..
 
Mazao karibuni ya nafaka za aina zote unavuna.. Dah mkuu hiyo model kweli ya Zamani lkn huku ulaya wanazitumia Hadi Leo.. Ukiwa na hizo mpya za kichina au India utabadili hata zaidi ya mashine 10 Ila hii bado itapiga kazi..
 
Inazaidi ya mwaka nchini..haijafanya kazi kabisa hapa nchini imepark Tu..na kua naiwasha maramoja moja.. Nimekosa msimamizi ndio nauza.. Kutoka Denmark.. Mashine ipo vizuri Sana..na bei ni rahisi Sana hiyo..
Ina 4WD?
Maana hizi hua zinakuaga tamu zaidi zikiwa za CHAIN badala ya TAIRI sababu ya matope ya kwenye mpunga
 
Haina sio 4WD.. Ila wakati wa mavuno ni wakati wa kiangazi Mara nyingi.. Nafaka karibuni zote mkuu.. Kama ngano,maharage,mpunga,mahindi nk.fanya kautafiti hata kwenye youtube mazao unayotaka kuvuna.. Huwezi kutoka kwenye kilimo kama hujawa na zana za uhakika za kutoa mazao yako shambani usijidanganye..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom