Toyota IST for sale

Toyota IST inauzwa, namba C ya mwaka 2004 na imetembea km 127,300. Interested buyer please PM
Namba C; kms laki na 27! Sawa na premio yangu no A; kms laki na 20! Jaribu kunishawishi vizuri zaidi nitoe offer!!
 
Kwenye tangazo kama hili ni vyema kufunguka na bei moja kwa moja! Huwezi kutaka interested buyers while the price tag is hidden!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom