Salaam ndugu zangu wana JF labda zaidi wa Mtwara!
Nahitaji nyumba ya kupanga(nzima/yote), Mtwara mjini haswa karibu na maeneo zilipo Lodges/Guest houses .
Mkataba wa miaka 3-5. Hata kama ilikuwa...
Lipo Mbeya jiji barabara ya inyala hospital kama unaelekea inyala secondary, linaukubwa wa hatua 30 kwa 18 bei ni 5M. Nicheck kwa namba 0714374155 au 0753199179.
Salama kabisa!
Nina surveyed plots in kigamboni mbele ya kimbiji kunaitwa PUNA na KWA CHALE.
Kwa chale ni karibu na JKT ya kimbiji.
Na pia ninavyo POTEA njia ya kwenda Tundwi.
Kutoka ferry
1...
Nataka landcruser v8 ya mwaka 2013 /14,diesel an auto budget dollar 85k,km unayo au unaconnection na mtu ambaye anayo nicheck hapa 0678224427,isiwe ya kusubiria
Nyumba (tafadhali tazama picha) iliyoanza kujengwa inauzwa. Iko Goba Tegeta A, au Kwa Bedui.
Kiwanja ukubwa wake ni 50 by 26. Inauzwa 37m.
Serious buyer contact 0755 092 734.. 0754 810853
Hii sim imetumika wiki tuu sasa tangu kununuliwa ni original, 32GB na ina 3GB ram camera 16Mpx na ina record video 4K ina heart beat rate monitor (built in) na specification zingine kibao
ppiga...
Viwanja viko mbezi mpiji magoe ukubwa kuanzia 22x20 bei 4.5milion.
Viko kandokando mwa barabara ya mbezi kwenda mpiji magoe. Huduma muhimu kama maji, umeme, hospital na shule zinapatikana.
Kwa...
Habari wanajamvi, nauza Kiwanja change chenye ukubwa wa 35x45 mita, kimepimwa na manispaa ya morogoro, kina ofa. Nauza kwa bei ya tsh 10M haipungui. Eneo lipo kihonda Kilimanjaro ( karibu na eneo...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nimepewa jukumu la kutafuta nyumba kadhaa Geita zenye sifa zifuatazo kwa ajili ya kupanga:
1. Yenye walau vyumba 2-3
2. Lazima kuwe na 2 bathrooms
3. Fence na...
Jamani wadau nauliza sehemu ambapo inapatikana vifusi vya lami kama mabaki ya barabara ya lami baada ya kukwanguliwa either kwa kukosewa kujengwa (chini ya ubora) au kufikia maximum life span...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.