sexy bubble
Senior Member
- Mar 29, 2014
- 156
- 22
Nauza blackview ultra a6 same kama iPhone lakini ni android..imetumika miezi miwili haina mkwaruzo wala mchubuko rangi silver na black camera ya ukweli pia unaweza badilisha kutoka android kwenda iOS mapenzi yako mwenyewe..350000 tu 0656647995