Nauza Asali

Nauza Asali

Family_hammer

Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
29
Reaction score
12
Ndugu zangu nauza asali ya nyuki wakubwa, bei ni shilingi 12000 kwa kilo. Kwa maelezo zaidi naomba tuwasiliane kwenye namba 0767629999.

Asanteni
 
mhh labda mi ufahamu wangu ni mdogo siku hizi asali hupumwa kwa kilo?
 
mhh labda mi ufahamu wangu ni mdogo siku hizi asali hupumwa kwa kilo?
Wanadai Lita wanapunjika, nimeisikia hii nikawauliza ndivyo walivyonijibu sikuongeza neno tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom