Habari wakuu.
Ninatafuta soko la choroko la uhakika au wanunuzi wa choroko wanaopatikana kanda ya ziwa, mimi niko Bariadi na nalima ekari sita za choroko, naomba pia mwenye ujuzi wa bei. Yaani...
Karibu Mkuranga kwa mahitaji ya kiwanja mashamba tena kwa bei nafuu sana,kwa mahitaji ya kujenga sheli za mafuta (petrol station), shule, nyumba za wageni na hotel, wasiliana nami kwa simu no...
Hello wadau;
Kama kuna mdau anaweza pata binzari kavu kuanzia tani 500, sio iliosagwa, naomba tuwasiliane kwa pm kwanza. Kiingereza inaitwa dry turmeric fingers. Kuna soko nimelipata nje...
Habari wana JF.
Natafuta site/eneo la kuuza chips hapa town(dsm), mwenye info na habar pls tuwasiliane(0712 332 781 or 0755 368 445)
Tutalipana kibigwa.
Wadau naulizia utapatikanaji wa shamba la kufuga kuku, either katika mikoa Dar, Arusha, Moshi, Pwani(Ruvu) Tanga, Moro hata Singida, sehemu moja wapo.
Kama lipo mniambie na gharama za kukodi...
Special OFFER! price: 100,000/= ONLY!
Pata Digital Camera ufurahie kupiga picha na mpenzi,ndugu,jamaa na marafiki na sherehe mbalalimbali. pia inauwezo mzuri wa ku-record videos
-Brand: SONY...
Tangaza Marketing Solutions:
Kwa mahitaji ya hostel ya kisasa kwa wanafunzi.
Ipo sinza mapambano
Chumba double decker kwa wanafunzi wawili tu tshs 100,000/= kodi ya miezi 4(semister)
Chumba cha...
Nauza laptop EliteBook yenye vigezo vifuatavyo:
Type: hp EliteBook
Window edition: windows 8
System
1. Rating: 4.4 window xperience index
2. Processor: Intel(R) Core (TM) i5 CPU M 520@ 2.40GHz...
Wadau nahitaji gari aina ya Toyota Vitz (used)..
Kama kuna anayeuza naomba anicheck na aweke details kabisa. Ila plz isiwe imetumika sana na isiwe toleo la kizamani. Nataka toleo B..
Niko Dar...
Habari wanakijiji wa jamii Forum,Hiki ni kijiji pendwa na watu wa kijiji hiki ni watu werevu na wanao jielewa tofauti na vijiji vingine vya kijamii. Tawa driller ni jina linalotumika kwenye kijiji...
Kwa watu wangu wa nguvu ...
Nahitaji tv chogo inch 21 ya mtumba Iwe ama in Hitachi au Sony mwenye nayo tuongee biashara .
Au kwa maduka ya bidhaa hizo mjini moro au DSM,no 0679153374.
Husika na mada hapo juu. Kwa wale madalali ambao wapo humu, natafuta nyumba ya kupanga maeneo tajwa hapo juu...
Bajeti ni laki 5 kwa mwezi.... Iwe nyumba ya fence, na iwe modern one.... Asante....
Wakuu Kiwanja Kinauzwa Hapa Meko Machimbo Ya Zamani Ya Mawe Kunduchi, Dar Es Salaam
Mita 300 tu toka barabara kuu ya Mwenge -Bagamoyo
Tayari Kuna Msingi Wa Vyumba 4, Ukubwa 20*20
Ni Bei Ni Mil...
Sabakher Wadau;
Kuna Dogo Angu {wa kiume} Anakuja Hapo Piligrims College Kimara Kusoma!
Sasa Kwa Gharama Za Bwen Siziwezi Ni 3.4M! So Naomba Dalali Jitokeze Hapa Au PM Unisaidie;
1. Chumba Kiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.