Unajua thamani ya elfu themanini (80000 tsh) soma hapa

tawa driller

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
296
152
Habari wanakijiji wa jamii Forum,Hiki ni kijiji pendwa na watu wa kijiji hiki ni watu werevu na wanao jielewa tofauti na vijiji vingine vya kijamii. Tawa driller ni jina linalotumika kwenye kijiji hiki lakini Brela wana nitambua kama Tawa Water Proffesional,Maskani yangu ni Gongo la mboto na pia Jamii Forum, namaanisha ukinikosa Gongo la mboto nitafute Jamii Forum na kinyume chake. Nipo hapa kijijini kwangu kushirikiana na nyinyi wanakijiji wenzangu kitu kimoja kizuri kabisa maana wa huku Gongo la mboto tayari nimeshawashirikisha.

Je unajua thamani ya Pesa yako... Yaani shillingi elfu themanini ( 80000 tsh) hii ni pesa ya kitanzania na wala si Us $.

Faida utakayoipata kwenye Elfu themanini;

1: kukuchimbia kisima kwa mita moja.
2: kufungiwa pampu ya maji bure kabisa.
3: Kuflashiwa kisima chako bure kabisa baada ya kuchimbiwa.
4: Kufanyiwa Water Test baada ya kukuchimbia kisima chako.
5: Kubwa zaidi ni kukupatia Tanki la maji baada ya kuchimbiwa kisima chako...

Jeee....nani mwingine anaweza kuipa thamani elfu themanini yako kuliko sisi?

Tunaipa thamani Hela yako kama tunavyokupa thamani wewe mteja wetu.

Angalizo: Asilimia kubwa ya watanzania tunakunywa maji yasiyo salama kwa afya zetu, inamaana tunachimba visima vyetu ili tupate maji ya kutumia lakini bahati mbaya maji hayo hatuyapimi ili kujuwa usalama wake kwa afya zetu, hilo ni tatizo kubwa ndio maana tumekuja kuwasaidia na kuliondoa tatizo hilo kabisa.

Nb: bei hiyo ni kwa wateja waliopo Dar es salaam na maeneo ya karibu.

Kwa mawasiliano
Simu: 0655 541 948/0628 080 096
Barua pepe:
tawadriller@yahoo.com
Piga simu muda wowote...

Kaibuni wadau tuwahudumie.
1460218470638.jpg
1460218537846.jpg
1460218592021.jpg
1460218694814.jpg
 
Kama kisima ni mita moja hiyo pump ina urefu gani?
Au kila mita moja ni 80,000 pamoja na hivyo vyote ulivyovitaja?
 
Kama kisima ni mita moja hiyo pump ina urefu gani?
Au kila mita moja ni 80,000 pamoja na hivyo vyote ulivyovitaja?
Yap kila mita moja ni shillingi elfu themanini mkuu,kama kisima ni mita 50 ina maana ni sawa na million nne pamoja na vitu vyoote nilivyoorodhesha hapo juu
 
Okay.. Kama nataka kufanya reconnaissance mnatoza bei gani?
 
Na gongolamboto nyantila maji yako mita ngapi chini ya ardhi?
 
Bei zetu za zamani bado zipo na zinaendelea kikubwa utofauti upo ni upewaji wa vitu vya ziada bei yetu ya chini kabisa ni shillingi 60000 kwa mita kwa visima vilivyo Dar es salaam
 
Unajuwa hadha inayopatikana kwenye upatikanaji wa maji ya Dawasco? Unajuwa ubambikiwaji wa bili mwisho wa mwezi? Ratiba mbovu ya utolewaji wa maji? Epukana na adha hizo zoote kikubwa ni wasiliana na Tawa Water Proffesional ili wakusaidie kupata kisima chako kwa bei rahisi kabisa. Tawa Water Proffesional ni kampuni bora na inayoongoza katika utoaji wa huduma bora za uchimbaji wa visima na ufungaji wa pampu za maji.Bei zetu ni rahisi saana kupita maelezo. Usidanganyike na matapeli wa mjini watakupa hasara njoo uhudumiwe na watu wenye uzoefu wa hali ya juu katika fani hio.Piga simu namba 0655541948/0628080096Karibuni saana tuwahudumie
 
Back
Top Bottom