Kiwanja Chenye Msingi Kinauzwa.

Nyete

Member
Apr 20, 2016
58
61
Wakuu Kiwanja Kinauzwa Hapa Meko Machimbo Ya Zamani Ya Mawe Kunduchi, Dar Es Salaam

Mita 300 tu toka barabara kuu ya Mwenge -Bagamoyo
Tayari Kuna Msingi Wa Vyumba 4, Ukubwa 20*20
Ni Bei Ni Mil 7.
Nicheck 0655544795

Kwa Wale Waliokuwa Wanahofu Kuhusu Eneo Hili.
Tayari Mstahiki Meya Wa Manispaa Ya K'ndoni Amewahakishia Wananchi Waliojenga Katika Maeneo Haya Namnukuu " Mimi Kama Meya Wa Manispaa Ya Wilaya Hii Sitaendesha Zoezi La Kubomoa Nyumba Zenu Katika Eneo Hili, Lakini Kwa Kushirikiana Na Serikali Yenu Ya Mtaa Nitatuma Kijiko Kuja Kuchonga Barabara Za Mitaa"
NB, Ukitaka kununua kiwanja Dar es Salaam, Nunua Wakati Wa Masika. Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom