Husika na mada hapo juu. Kwa wale madalali ambao wapo humu, natafuta nyumba ya kupanga maeneo tajwa hapo juu...
Bajeti ni laki 5 kwa mwezi.... Iwe nyumba ya fence, na iwe modern one.... Asante....
Wakuu Kiwanja Kinauzwa Hapa Meko Machimbo Ya Zamani Ya Mawe Kunduchi, Dar Es Salaam
Mita 300 tu toka barabara kuu ya Mwenge -Bagamoyo
Tayari Kuna Msingi Wa Vyumba 4, Ukubwa 20*20
Ni Bei Ni Mil...
Sabakher Wadau;
Kuna Dogo Angu {wa kiume} Anakuja Hapo Piligrims College Kimara Kusoma!
Sasa Kwa Gharama Za Bwen Siziwezi Ni 3.4M! So Naomba Dalali Jitokeze Hapa Au PM Unisaidie;
1. Chumba Kiwe...
Wakuu habari za jioni,
Nina nyumba yangu napangisha maeneo ya mbezi ya kimara, njia ya mpigi magohe, karibu na maeneo wanaita kwa mbunge. Hii nyumba ni vyumba vitatu, sitting, dining, jiko.Chumba...
Deal ya fasta faster, boots nzur za kiume zimebaki pair mbili tu, rangi ya blue, size 43 tu.. Napatkana dodoma, bei ni 60,000 fixed.... Mteja serious tuwasiliane 0652140160
Jinsi ya kuifanya ngozi yako kuwa changa na kupunguza kuzeeka
Kuzeeka kwa ngozi na jinsi ya kupunguza kuzeeka
Kuzeeka ni utaratibu wa kawaida kwa mwili wa binadamu. Na hutokea kila siku kwa...
SAMSUNG Galaxy A8 DUOS
Black color
Double line
Fingerprint scanner
5.7 ins 1080p screen
32GB storage with MicroSD slot
2GB Storage
16mpx main camera
in EXCELLENT condition.
Price TShs. 700,000...
Wakuu hizi nimashine za kuponda kokoto nimezitafuta mitandaoni nikapata aina hizi kuwa zinatengenezwa China hivyo nimewaletea picha hizi ili mwenye kufahamu wapi zinauzwa hapa inchini aweze...
Ndugu zangu habari zenu, napenda kuwatangazia kuwa kuna dawa, virutubisho pamoja na Pads za kutoa sumu mwili, baadhi ya magonjwa tunayotibu ni pamoja na:
1. PRESSURE (BP )
2. KISUKARI
3. U.T.I...
Baraza LA Uwezeshaji Tanzania NEEC limezindua mpango wa kuwawezesha vijana ambao wanaweza kuandika business plan kwa sekta mbalimbali na baada ya hapo kuwawezesha vijana wote ambao watakuwa...
Je unatafuta jengo la biashara kwa ajili ya Hostel, Hotel, Guest House, Nyumba za kupangisha(Serviced appartments), Hospitali, Health centre, mgahawa wenye vyumba vya kulala, Bed and Breadfast...
Nashukuru nimempata mdada kupitia jukwaa hili wa kuniuzia kiduka changu cha nguo na mambo yanaenda vizuri. Karibuni kijitonyama mumuchangie,
leo nina wazo hili.
Kulingana na kuwa na majukumu...
whats up Jf memb[emoji1]r
1. Nauza gari yenye maelezo yafuatayo
a. Jina : Toyota
b. Model : Carina Ti
c. Muundo : Saloon
d. Ukubwa wa injini: 1500
e. Rangi : nyeupe
g. Mfumo: moja kwa moja
h...
Umekuwa kwa Muda Mrefu bila shaka ukisumbuliwa na hali ya kurejesha mwili katika hali iliyo ya afya zaidi kuliko,unene unao ambatana na Magonjwa kadha wa kadha.
Leo nimefika hapa kutoa ushuhuda...
Jipatie domain name za .com kwa TZS 15,000 pamoja na kuiunganisha kwenye blog yako
kazi yote hiyo ni ndani ya DKK 10.
Domain name ya .com pamoja na adsense account kwa TZS 30,000
Ndani ya Masaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.