Natafuta binzari kavu

dialogist

Member
Apr 14, 2014
14
3
Hello wadau;

Kama kuna mdau anaweza pata binzari kavu kuanzia tani 500, sio iliosagwa, naomba tuwasiliane kwa pm kwanza. Kiingereza inaitwa dry turmeric fingers. Kuna soko nimelipata nje linahitaji supply kubwa zaidi.

Asanteni
 
Back
Top Bottom