Natafuta soko la choroko Kanda ya Ziwa

Natafuta soko la choroko Kanda ya Ziwa

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,467
Reaction score
1,562
Habari wakuu.
Ninatafuta soko la choroko la uhakika au wanunuzi wa choroko wanaopatikana kanda ya ziwa, mimi niko Bariadi na nalima ekari sita za choroko, naomba pia mwenye ujuzi wa bei. Yaani kilo moja ya choroko inauzwa shilingi ngapi sokoni?

Asanteni...

Wenu katika ujasirimali
 
Kama uko DAR nenda pale PUGU RG zamani KIUTA kwa MOHAMED ENTERPRISE ndo shughuli zake au km una pumzi yakutosha safirisha mwenye INDIA
 
Kama uko DAR nenda pale PUGU RG zamani KIUTA kwa MOHAMED ENTERPRISE ndo shughuli zake au km una pumzi yakutosha safirisha mwenye INDIA

Asante mkuu kwa ushauri,mimi niko huku Bariadi
 
Nasikia Zambia na Malawi zinalipa ila sina uhakika kwa mwenyewe kujua atujuze hapa.
 
Asante mkuu kwa ushauri,mimi niko huku Bariadi

Ok....ngoja nijaribu kukutafutia namba zao then nikurushie uchek nao kwakuwa wanakuwaga na Ofisi za kanda mkikubaliana wanaweza kukwambia upeleke wapi
 
Ok....ngoja nijaribu kukutafutia namba zao then nikurushie uchek nao kwakuwa wanakuwaga na Ofisi za kanda mkikubaliana wanaweza kukwambia upeleke wapi

Asante mkuu,umeshazipata namba zao?
 
Habari kaka. Nahitaji choroko kuanzia gunia 500. kama unayo au kama kuna mtu unamjua naomba unipm please.
 
Choroko zinahitajika sana hapa dar na kwa sasa kilo ni 1600/= soko uhakika kama unamzigo mkubwa tuwasiliane 0716300776
 
Bei ndo mnatunyonya sana sisi wakulima ongezeni bei
 
Kwa mwanza tunanunua choroko kilo 2800
Jaribu kutafuta soko mwanza ni ushauri tu
 
Choroko huwa zinachukua muda gani mpaka kuwa tayari kuvunwa?naomba mwenye uelewa wa hili tafadhali
 
Back
Top Bottom